Recent content by Fullbawa

  1. F

    Nimeshuhudia Mafuta yakitoka chini Ardhini hapa Tanzania

    Kuwa mzalendo katoe taarifa mamlaka husika. Au wanakijiji walikupatia kipande cha Ardhi kulinda siri
  2. F

    Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

    Kwa uelewa wangu naona polisi wanavitambua vizuri sana. Wanashughulika zaidi na vijiwe hatarishi Kwa usalama wa raia mfano vijiwe wanavyo kaba, kubaka n.k Nimesema hivyo kwasababu uvutaji bangi ni addiction hivyo basi sio Kila mvuta bangi ni mtu mbaya na sio Kila kijiwe Cha wavuta bangi ni...
  3. F

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Mkuu habari yako, pole na majukumu. Nina ndoto mbili 1) Hii huwa naota mara nyingi tangu nikiwa mdogo hadi Leo ( Kuota nikiwa sionekani kwa watu wengine hasahasa kwa watu wanaotaka kunifanyia ubaya mfano kunipiga, kuniua, kunikamata etc na ikitokea nimekamatwa kabla hawajanifanyia chochote...
  4. F

    Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Ahsante Sana kwa ushauri Mkuu.
  5. F

    Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Ahsante Sana kwa maelekezo yako.
  6. F

    Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Ahsante Sana kwa ushauri Mkuu.
  7. F

    Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Habari za wakati huu wana JF. Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu (mwezi wa nne). Je, ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa nchini kwetu. Natashukuru...
  8. F

    Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Ninahitaji Sana na nitaendelea kuhitaji zaidi na zaidi kupata mafunzo ya ulinzi binafsi, niwe na uwezo wa kujilinda mwenyewe. Baada ya hapo nipate nafasi kubwa zaidi ya kulinda nchi yangu katika kitengo chochote Cha ulinzi. NINAAMINI NDOTO YANGU ITATIMIA🙏
  9. F

    Wanausalama ni watu muhimu sana

    Nimependa sana maelezo yako, nimekuelewa vyema mwandishi. Na kwa wale wote wasioona uwajibikaji wa hawa watu katika taifa letu, basi wajiridhishe Kwa kufanya yale wanayodhani hawa watu wanayafumbia macho na hawayatekelezi alafu baada ya siku moja watuletee mrejesho kuwa hawa watu wapo kazini...
Back
Top Bottom