Mleta hii thread yakusuport unyama nae ni mnyama na kwa hili ataadhibiwa sawa na jk na mbwa koko pinda, yani nyie wanyama mngejua dunia hii ni mapito basi msingejalbu kumuua kanda uli, sasa mungu ataonyesha uwepo wake na wote itakula kwenu!!
CCM wote wana fikra mgando za miaka sabini ilopita, ukinipa chance ntaanzia pale magogoni hadi mjengon nalipua magamba yote nadhan ningemuacha filikunjombe tu, na huyu mtoa thread ya kijinga like this ndo ma mambumbumbu yanayotakiwa kuchinjwa!!
Tatizo watu walikurupuka enzi zakupotisha mswada kwa nia yakuwashinda wapinzani sasa inakula kwao sisi CHADEMA tunapeta tu wamalizane wenyewe, tena napenda sana jk avunje bunge ili twende uchaguz mwingine naamini itakula kwao sana tu
!!!
Habari zenu wana jf, naombeni sana mwenye kuelewa au mwenye huo waraka anisadie sana nahitaji sana kinachozungumziwa ndani ya huo waraka!! Ni muhimu sana naombeni msaada wenu wadau.
Unajua hapo issue sio muda kazini ila ni issue ya bodi tu kunipa mkopo wa nauli mi nikaenda shule na swala la kazi kama nikipata shule kwangu si issue sana maana najua baada ya shule kaz ntapata tu yenye maslahi zaidi ya hii, hivo napenda ushauri zaidi juu yakuweza fanikisha hilo maana mwaka...
Habari zenu wana jf, nina kitu kinanikwaza hebu tupeane mawazo kwa mwenye uelewa mzuru wa hili!!! Kuna scholarship za china kwa masters na phd ambazo miaka yote hasa yakaribuni zimekua zikitolewa na wizara tajwa (ELIMU), vigezo vyao vikubwa ni uwe na GPA 3.5 and above, birth certificate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.