Uhusiano kati ya bodi ya mikopo na wizara ya elimu na ufundi stadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano kati ya bodi ya mikopo na wizara ya elimu na ufundi stadi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by FULELA, Jan 23, 2012.

 1. F

  FULELA Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jf, nina kitu kinanikwaza hebu tupeane mawazo kwa mwenye uelewa mzuru wa hili!!! Kuna scholarship za china kwa masters na phd ambazo miaka yote hasa yakaribuni zimekua zikitolewa na wizara tajwa (ELIMU), vigezo vyao vikubwa ni uwe na GPA 3.5 and above, birth certificate, transcript na university certificate, pia kama ulisoma digree ya kwanza kwa mkopo wa bodi unatakiwa uwe umeanza kulipa deni ndo uombe.

  Kwa kifupi vigezo vyote ninavyo kasoro hicho cha kuanza kulipa, ila wale china wanasema watatoa kila kitu kasoro nauli ya kwenda tu ndo inatakiwa kua juu yako, hapo ndipo bodi yamikopo imeingilia kati nakusema itatoa mikopo ya nauli kwa watakao chaguliwa, wakati huohuo mimi nimemaliza degree yangu 2010 na nimeanza kazi 2011 january hadi sasa ninamwaka 1 na nipo ndani ya hiyo wizara ya elimu pia na bodi hawajaanza kunikata hela yao na mimi nahitaji kuomba hiyo scholarship niende zangu kusoma, je hapo nafanyeje??

  Mawazo yenu ndo mafanikio yangu, KARIBUNI
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwanza kiutaratibu hujamaliza muda unaohitajika na mwajiri wako wewe kwenda kusoma.Muda kazini haukuruhusu kwa taratibu za uajiri labda kama unataka kuterminate ajira yako.Au kutimiza kauli mbiu kuwa "ukitaka kula lazima nawe uliwe" hapo muda wala bodi si kikwazo kwako.
   
 3. F

  FULELA Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua hapo issue sio muda kazini ila ni issue ya bodi tu kunipa mkopo wa nauli mi nikaenda shule na swala la kazi kama nikipata shule kwangu si issue sana maana najua baada ya shule kaz ntapata tu yenye maslahi zaidi ya hii, hivo napenda ushauri zaidi juu yakuweza fanikisha hilo maana mwaka jana niliomba inavyoonekana nilipata tatizo ikaja kua bodi coz walinipigia bodi wakiniulizia kama nishaanza kulipa mkopo nikawaambia hapana , nikawauliza kunanin wakasema ni juu ya scholarship ya china niloomba after that sikuskia lolote tena sas now nilitaka kuomba tena sasa nataka kujua jinsi yakufanya hili liwezekane coz ka GPA kidogo kanasoma vizuli
   
Loading...