Juzi nimefungua uzi wenye kichwa cha habari, "USHUHUDA: Jinsi kampuni za mafuta zinavyokwepa ushuru" nikatoa mfano mmoja wa kampuni ya OILCOM inavyokwepa ushuru. Kuna watu wameni-inbox vitisho.
Sasa natoa mfano mwingine wa OILCOM hiyohiyo.
Baada ya gas ya songosongo kuanza kuchakatwa (Gas...
Rais na Waziri wake mkuu watapata kazi sana kusafisha hii nchi,Ningewashauri kitu kimoja kama kweli wanataka kusafisha nchi hii na siyo "kuonekana wanasafisha" wakati ukweli hakuna kitu wanachofanya.
Wapo watu katika nchi hii wanazo taarifa za mifumo ya wizi katika sehemu mbalimbali jinsi...
Mpaka ninavyoandika huu uzi, hapa UDOM education hakuna aliyeoga wala kujisaidia, kama kuna mtu basi hajaflashi, na hii ni kawaida sana hapa UDOM mtu kutoflash, si wanawake si wanaume wote tushazoea mambo haya maana hata ukimuuliza akikwambia umpe maji utamjibuje? UDOM maji hakuna halafu hakuna...
Kwenye kipindi cha mzalendo kinachorushwa na ITV, siku za karibuni alihojiwa FAHAMI DOVUTWA na MREMA LYATONGA, nakumbuka waliponda sana muungano wa UKAWA kwa kuuona ni kiini macho mpaka DOVUTWA akaapa kwamba kama UKAWA wataachiana majimbo na kusimamisha mgombea mmoja basi kura zake yeye DOVUTWA...
Kuandikishwa BVR sh. 5000 hadi 20,000 Mbezi kwa Msuguri
Zoezi la kuandikisha kupiga kura sasa linaendeshwa kwa fedha ambapo mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa kushirikiana na waandikishaji wametengeneza utaratibu ambao kama hujatoa hela hauandikishwi.
Ukifika unapokewa na vijana tokea mbali...
Katika hali ambayo wengi wakiwepo ukawa hawakuitarajia, CCM wamewatengenezea email account za wajumbe 20 wa CUF kutoka zanzibar ambapo watapiga kura kuikubali katiba inayopendekezwa pamoja na wale walioko hija makka, Huu mkakati hakuna aliyeutegemea ambapo inasemekana hao wajumbe wa CUF tayari...
Kiongozi shikamoo! kila nikikutana na hii quote yako navunjika mbavu, sasa naomba uitafutie heading nzuri uifungulie thread maana inaelezea mindset ya mukulu wetu bila kuacha chembe ya shaka. Please ifungulie uzi watu wamsome btn the line, mi niko tayari kujazia nyama kama co-author.
Tatizo la JK kawaajili nyie LB7 muwe mnamsafisha humu kwenye mitandao lakini ameshindwa kuajili watu makini wa kumtengeneza yeye asichemke maana ni live mbele ya audience. sasa hata mkimsafisha madhaifu yake humu mitandaoni mtawapata wale ambao hawajawahi kumuona wala kumsikia, ila kwa...
Nilitaka nishangae Lumumba msiingie kwenye huu uzi, sasa mtalipwa kwa kazi gani? hii ndio kazi mliyoajiliwa kufunika udhaifu na mapungufu ya bwana mkubwa ili watu wengi wasimjue.
Mimi JK niliacha kumchukulia serious mara alipochaguliwa kuwa raisi alienda ulaya na marekani na lundo la watu, aliporudi aliita waandishi wa habari ikulu. nikajua huyu ndo raisi, alivoanza kuwasimulia kuwa soko la hisa la nasdaq na NY kuwa linauza hisa nyingi kwa siku na kwamba wazungu wana...
DIALO KAJIBU HIVI;
"Tuhuma za Kundi la Makuwadi wa EL dhidi yangu hayana msingi wowote na kama ni kweli Edward amewapa waziseme kwangu na kuhusisha Mheshimiwa Rais ni mwendelezo wa EL kumdharau Rais ambaye alimpa madaraka makubwa na kosa likiwa kukubali ajiudhuru baada ya kufanya madudu...
Serious nimechoka kusubiri matokeo, hivi huu ukumbi si BAWACHA watautumia saa 5 leo kwa uchaguzi wao, sasa BAVICHA mpaka saa hizi saa 3 wanasubiri nini kuyatangaza hayo matokeo? si yameshajulikana hadi lumumba washayapata kupitia vibaraka na mapandikizi yao.
Mimi ni mwanachama wa bavicha na ni mpigakura kwenye hicho kinyang'anyiro.
Hofu niliyonayo ni kuwa kwa behaviour za wanachadema ambazo kwangu mimi naona zinatofauti sana na CCM, kama mtaendelea kumnadi huyu patrobas kwa style hii ya ki-CCM mnaweza kumuharibia hata kama ni kweli uwezo anao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.