Recent content by fugiken

  1. F

    Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    Siamini km huyu ni waziri, unawezaje kupanga nja kuu wakati hata mkusanyiko wenyewe haujui ultakapo kuwepo? Yaani ubuni buni watu watakuasanyika wapi ndio ukimbilie hapo kuwa piga risasi? Huo hautakua mpango Ila ni ujinga mauaji ya kupanga hayafanyiki ktk utaratibu dhaifu hivyo, huo ni mpango...
  2. F

    Nikwanini members wa jamii forums wanatumia majina yasiyo halisi??

    Kaka wewe unatumia jina halisi hausimamii upande tofauti na ccm, watu salama kwa sasa humu nchini ni wanaccm tu, tulio tofauti na ccm lolote baya ni lako ndio maana tunajihami kwa kila njia kwasababu watawala hawajui kuheshimu tofauti zetu. Utumiaji wa lugha ya Kiswahili umekua wapo watu hata...
  3. F

    RC Makonda ni moja kati ya hazina chache tulizotunukiwa Tanzania

    Ha ha ha ahaaaa!!!! Nani akipewa ukuu wa Mkoa wa Dar hata fahamika ? hata akilima bustani ya nyanya nyumbani kwake itakua "sifa" Makonda omba wapotee Dar es salaam hajui wanatokana na sera za nchi yeye akiwa mmoja wa wasimizi wa sera hizo alikua hajui matokeo ya sera hizo ni pamoja na uwepo wa...
  4. F

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Ndo maana lazima uwe na utulivu, uelewa na busara ya "shule" kulijadili hili siyo kila mtu anapumzi ya kulizungumzia..... kaa huyu amekariri sheria ni msumeno hajui hata kwanini inakua msumeno kwa "watoto"
  5. F

    Serikali za CCM uwezo wake ni kuendeleza kanda moja moja pekee

    Ndio sera za ccm kuileta Hii mipambano taka usitake ... mimi siyo Mbunge mbona hili lipo mpaka bungeni km siyo agenda ya ccm? Ona ukweli Na hata kama ni mpambano wa kanda ni kanda gani iliyo juu zaidi ya kanda ya ziwa kwa maendeleo?
  6. F

    Serikali za CCM uwezo wake ni kuendeleza kanda moja moja pekee

    Tunaelimishana tu wala haja yangu siyo hayo unayoyasema ... kifupi hiyo ndio serikali ya ccm .... hayo maonezi hayafanywi na mtu ni serikali suala la mgawanyo wa uwakilishi siyo la mtu ni serikali inayojiita ccm Kabla ya mwaka 1995 dhahabu ilokua ikichimbwa ilikua mali ya wazawa kwa sehemu...
  7. F

    Askofu huyu kavumilia mengi ila hii biashara ya kununua watu bila shaka ndio imemfanya afike mwisho

    Walikua wanawatwanga viongozi wa CDM ka ngoma za majilio wakijua umma uta nyamaza Kumbe siyo!
  8. F

    Waislamu tuko upande wa Rais! Ya Kakobe mpelekeeni Kaisari

    Wewe siyo mwakilishi wa Waislamu! Kwanini nasema hivyo 1. Hakuna mwislamu asiyejua maoni ya Ask. Kakobe ni yake kama raia huru wa taifa hili na kwa mujibu wa Biblia ni wajibu wake kusema kweli....! Unapolazimisha maoni ya Ask. Kakobe kuwa tamko la Wakristo unapotsha ukweli majuzi likikuwepo...
  9. F

    Serikali za CCM uwezo wake ni kuendeleza kanda moja moja pekee

    Ni ajabu na kweli, nilisoma jinsi Mh. Msukuma alivyokua anasema kwa msisitizo ni kwanini iwe zamu ya Kanda ya Ziwa kuendelezwa ... binafsi nikapata mshituko....! Hivi kumbe awamu za utawala wa Serikali za ccm hua ni kwaajili ya maendeleo ya Kanda moja moja na siyo taifa zima!!! Nikajaribu...
  10. F

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Ha ha ha ha haaaaaaaaa!!! Kaka ya Magufuli ni mengi, ni lini alishauriwa akakubali au hata akakaribisha watu Ikulu kuja kumshauri? Huyu Rais anaukaribisha ukabila kwa nguvu zake zote tena kwa majigambo kuwa wakati ni huu, anatumia mamlaka ya umma kuyafikia hayo malengo, anataka kufilisi anao...
  11. F

    Hivi ni kwanini CCM inachukiwa sana mitandaoni? Imekosa nini?

    Kaka huku tunaongea bila woga ndio maana ukweli halisi upo, huko kwingine "woga" una tawala haupati ukweli... yaani vyombo vya dola vinayasimamia maoni ya raia kwa marungu na risasi, utabomolewa nyumba kwa sheria za kabla ya Uhuru, utaitwa mchochezi utupwe ndani, utawekwa rumande bila kesi...
  12. F

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Sasa km hawezi kusomesha watoto walio pata uja uzito kwa kubakwa na mtu huyo huyo anawaonea huruma wauaji na kuwatoa jela... ! Hii inaleta picha gani, km kiongozi ni msomi anashindwaje kujua tatizo la ujauzito ni suala mtambuka... kuwasomesha waathirika siyo sababu ya kulikuza ... uelewa huu...
  13. F

    Wahariri na wamiliki vyombo vya habari wawe mashahidi wa Serikali kesi za uchochezi za wanasiasa

    Nchi gani inayosomesha wananchi wake bure hawajui kuusikia, kuusoma au kuuelewa uchechezi? Leo habari za uchochezi ni kila jambo linalosemwa na wanaCCM mwingine akilikataa linakua uchochezi Taifa hili linaamini kila mwanaCCM ndio anahaki ya kulizungumzia taifa hili yaani ndio wenye haki...
  14. F

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Nyerere hakua na "luxury" ya kuwa na watu wasomi wa kumsaidia, aliingia madarakani na "a handful" ya wasomi wa kumsaidia kutawala Watanzania Mil.9 Kumbuka hata madaktari wa liletwa kutokea Cuba, Ujerumani nk Kulikua hakuna chuo kikuu hata kimoja, alirithi watanzania wasiokua na elimu kwa...
Back
Top Bottom