Serikali za CCM uwezo wake ni kuendeleza kanda moja moja pekee

fugiken

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
484
Reaction score
137
Ni ajabu na kweli, nilisoma jinsi Mh. Msukuma alivyokua anasema kwa msisitizo ni kwanini iwe zamu ya Kanda ya Ziwa kuendelezwa ... binafsi nikapata mshituko....! Hivi kumbe awamu za utawala wa Serikali za ccm hua ni kwaajili ya maendeleo ya Kanda moja moja na siyo taifa zima!!!

Nikajaribu kurejea kila tamko la chama (ccm) kwamba maendeleo ni nini, siku wahi sikia mpaka wa maendeleo ni Kanda fulani, sasa la ajabu mh. Alikua bungeni kiongozi wa bunge siku hiyo alikubaliana na Mh. Msukuma ndio maana hakuambiwa athibitishe usemi wake. Wala waziri Mkuu kulisemea, inamaana lina mashiko, zamu hiii maendeleo ni Kanda ya Ziwa

Tuseme analolisema Mh Msukuma ni kweli, inamaana uwezo wa kuyafanya maendeleo kwa serikali za ccm huishia kwenye Kanda? Zaidi ya hapo haiwezekani ndio maana leo wananchi wanalalamika maendeleo yako kaskazini tu, kanda zingine hata lami, hospitali, viwanda, biashara ... hakuna

Ila Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania liko kanda ya ziwa, vile vile ndio jiji linalokua kwa kasi Africa hiyo ni kwa mujibu utafiti wa UN HABITAT kabla ya uchaguzi wa 2015 ... nahisi sijui ni suala la Air Port ndio soo, kwani mbona Kampala haina Air Port kubwa kuliko Entebe Air Port?

Ukiondoa Dar kanda ya ziwa inaongoza kwa biashara Tanzania wilaya km Kahama, Geita ( kabla ya kuwa Mkoa), Tarime, Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Maswa

Mh. Msukuma anasema yeye ni darasa la 7 inawezekana uwezo wake wa kuona mambo ni huo, je wengine wanaokubaliana nae nao ni la 7? Au sera za serikali hii ndivyo zilivyo? Najiuliza km ndivyo walipo kanda zingine watatozwa kodi za maendeleo? Najua hapa nitaulizwa mbona miaka hiyo kodi zililipwa na wote? Ndio swali langu linakukuja waliwezaje kupata kodi kama hawa kuwa na maendeleo?
 
Wewe usiwalishe maneno wa Lake ndugu, kwenye kutumia rasilimali za huko hamjali kuwa ni kiasi gani ila kugawanya rasilimali ndio tatizo. Mnataka kanda yenye watu wengi ipate sawa kama Kanda nyingine?
Ukawa yani huo wa kijinga ndio umesababisha mikoa ya huko inaachwa nyuma. Nenda angalia wastani wa Jimbo la Kanda ya Ziwa linakuwa na wakazi wangapi, halafu linganisha na Kanda nyingine uone uonevu ulivyofanyika. Watu wengi wamekuwa hawapati uwakilishi unaotosha unategemea nini?
Wewe unakimbilia kutolea mifano sijui Kampala haina Uwanja, nani kakwambia huyo? Huo Uwanja wa Entebbe pamoja na kutokuwa Kampala, ulijengwa purposely kwa ajili ya Kampala kipindi hicho Entebbe was just a fishing village, ni sawa tu na Uwanja wa KIA kwa Arusha na Moshi. Sasa wewe unataka Mwanza kusiwepo Uwanja una akili kweli. Hakuna nchi yoyote duniani, ambako kuna jiji kubwa la pili kwa ukubwa tena level ya Mwanza lililo lisilo na Uwanja wa ndege wa kimataifa. Utamaliza dunia nzima hautaona mji huo kamwe. Utakachobahatisha ni miji mikubwa iliyo karibu na miji ya viwanja vya ndege vya kimataifa but mtu wa Mwanza hawezi kufika kwenye Uwanja wa kimataifa pasipo yeye kupanda ndege, very fun!! Halafu unataka tena usiendelezwe kwa Hivi ya ukabila? Mngekuwa hamna ukabila, mikoa hiyo isingekosa Uwanja wa hadhi ndugu.
 
Tunaelimishana tu wala haja yangu siyo hayo unayoyasema ... kifupi hiyo ndio serikali ya ccm .... hayo maonezi hayafanywi na mtu ni serikali suala la mgawanyo wa uwakilishi siyo la mtu ni serikali inayojiita ccm

Kabla ya mwaka 1995 dhahabu ilokua ikichimbwa ilikua mali ya wazawa kwa sehemu kubwa ilikua haichukuliwi kodi kwahiyo utajiri wote ulibakia kanda ya ziwa ni matumaini yangu fedha zilikua ni mali ya mwananchi mkazi wa maeneo hayo na haikuchangia maendeleo hadi baada ya 1995 ndio mapato ya dhahabu yakaanza kufaidisha serikali za mitaa ... sijui huo uwakilishi hapa unamantiki ipi

Ni kweli uwanja wa ndege ni muhimu, lakini Mwanza imekua kiasi cha kuwa
mji wa pili kwa ukubwa Tanzania bila kiwanja... tuseme ukuaji wa mwanza mpaka sasa haujategemea kiwanja cha ndege Arusha pamoja na uwepo wa KIA haifikii mwanza kwa maendeleo kwa maana hiyo kiwanja cha ndege si tija si semi usijengwe.... KIA ulikuwepo hata kabla ya Uhuru, uwepo wake haukuanzishwa na wingi wa uwakilishi km wengi wanavyotaka kuamini
 
Ni ajabu na kweli, nilisoma jinsi Mh. Msukuma alivyokua anasema kwa msisitizo ni kwanini iwe zamu ya Kanda ya Ziwa kuendelezwa ... binafsi nikapata mshituko....! Hivi kumbe awamu za utawala wa Serikali za ccm hua ni kwaajili ya maendeleo ya Kanda moja moja na siyo taifa zima!!!

Nikajaribu kurejea kila tamko la chama (ccm) kwamba maendeleo ni nini, siku wahi sikia mpaka wa maendeleo ni Kanda fulani, sasa la ajabu mh. Alikua bungeni kiongozi wa bunge siku hiyo alikubaliana na Mh. Msukuma ndio maana hakuambiwa athibitishe usemi wake. Wala waziri Mkuu kulisemea, inamaana lina mashiko, zamu hiii maendeleo ni Kanda ya Ziwa

Tuseme analolisema Mh Msukuma ni kweli, inamaana uwezo wa kuyafanya maendeleo kwa serikali za ccm huishia kwenye Kanda? Zaidi ya hapo haiwezekani ndio maana leo wananchi wanalalamika maendeleo yako kaskazini tu, kanda zingine hata lami, hospitali, viwanda, biashara ... hakuna

Ila Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania liko kanda ya ziwa, vile vile ndio jiji linalokua kwa kasi Africa hiyo ni kwa mujibu utafiti wa UN HABITAT kabla ya uchaguzi wa 2015 ... nahisi sijui ni suala la Air Port ndio soo, kwani mbona Kampala haina Air Port kubwa kuliko Entebe Air Port?

Ukiondoa Dar kanda ya ziwa inaongoza kwa biashara Tanzania wilaya km Kahama, Geita ( kabla ya kuwa Mkoa), Tarime, Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Maswa

Mh. Msukuma anasema yeye ni darasa la 7 inawezekana uwezo wake wa kuona mambo ni huo, je wengine wanaokubaliana nae nao ni la 7? Au sera za serikali hii ndivyo zilivyo? Najiuliza km ndivyo walipo kanda zingine watatozwa kodi za maendeleo? Najua hapa nitaulizwa mbona miaka hiyo kodi zililipwa na wote? Ndio swali langu linakukuja waliwezaje kupata kodi kama hawa kuwa na maendeleo?

Hakuna cha maana hapo, zaidi umenuia kuleta mpambano 'majibizano' yahusuyo kanda, mikoa na makabila ya watu hususani viongozi
 
Ndio sera za ccm kuileta
Hii mipambano taka usitake ... mimi siyo Mbunge mbona hili lipo mpaka bungeni km siyo agenda ya ccm? Ona ukweli

Na hata kama ni mpambano wa kanda ni kanda gani iliyo juu zaidi ya kanda ya ziwa kwa maendeleo?
 
Kanda ya nyanda za juu kusini
 
Ni ajabu na kweli, nilisoma jinsi Mh. Msukuma alivyokua anasema kwa msisitizo ni kwanini iwe zamu ya Kanda ya Ziwa kuendelezwa ... binafsi nikapata mshituko....! Hivi kumbe awamu za utawala wa Serikali za ccm hua ni kwaajili ya maendeleo ya Kanda moja moja na siyo taifa zima!!!

Nikajaribu kurejea kila tamko la chama (ccm) kwamba maendeleo ni nini, siku wahi sikia mpaka wa maendeleo ni Kanda fulani, sasa la ajabu mh. Alikua bungeni kiongozi wa bunge siku hiyo alikubaliana na Mh. Msukuma ndio maana hakuambiwa athibitishe usemi wake. Wala waziri Mkuu kulisemea, inamaana lina mashiko, zamu hiii maendeleo ni Kanda ya Ziwa

Tuseme analolisema Mh Msukuma ni kweli, inamaana uwezo wa kuyafanya maendeleo kwa serikali za ccm huishia kwenye Kanda? Zaidi ya hapo haiwezekani ndio maana leo wananchi wanalalamika maendeleo yako kaskazini tu, kanda zingine hata lami, hospitali, viwanda, biashara ... hakuna

Ila Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania liko kanda ya ziwa, vile vile ndio jiji linalokua kwa kasi Africa hiyo ni kwa mujibu utafiti wa UN HABITAT kabla ya uchaguzi wa 2015 ... nahisi sijui ni suala la Air Port ndio soo, kwani mbona Kampala haina Air Port kubwa kuliko Entebe Air Port?

Ukiondoa Dar kanda ya ziwa inaongoza kwa biashara Tanzania wilaya km Kahama, Geita ( kabla ya kuwa Mkoa), Tarime, Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Maswa

Mh. Msukuma anasema yeye ni darasa la 7 inawezekana uwezo wake wa kuona mambo ni huo, je wengine wanaokubaliana nae nao ni la 7? Au sera za serikali hii ndivyo zilivyo? Najiuliza km ndivyo walipo kanda zingine watatozwa kodi za maendeleo? Najua hapa nitaulizwa mbona miaka hiyo kodi zililipwa na wote? Ndio swali langu linakukuja waliwezaje kupata kodi kama hawa kuwa na maendeleo?
Mkurugenzi wa tanesco aliyetumbuliwa kwa mbwembwe bwana mramba arudishwa kazini na kupangiwa kituo kipya cha kazi.hii imekuja mwaka mmoja baaada ya kulipwa bilakufanya kazi.
Hapa kazi tu
 
mleta UZI kwani hujiulizi tu kuhisu ule umoja hatari kutokea Tanzania wa UKAWA ambao ni jumuiya ya kanda 2 za kaskazini na pemba? Jumuia hii kama ingepewa nchi 2015 ingekuwa hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu.

Nashauri kujitafakari kabla ya kuchangia au kuanzisha uzi.
 
Back
Top Bottom