Recent content by Fuga Kisasa

  1. Fuga Kisasa

    Unatafuta eneo la kufugia Nguruwe jirani na Dar?

    Shamba zuri sana kwa kufugia kitimoto linakodishwa. Lipo Kibaha Kwa Mathias Sifa zake; mabanda mawili makubwa yanafaa kwa kufugia nguruwe, kuna store ya chakula cha mifugo, nyumba ya kukaa msimamizi wa shamba, kuna maji ya DAWASA na kisima cha kuvunia maji ya mvua. Picha zipo attached Ni...
  2. Fuga Kisasa

    Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

    Hata milioni mbili ni kubwa mkuu, hivyo ukubwa au udogo wa bei inategemeana na mnunuaji pamoja na eneo analotaka kuishi.
  3. Fuga Kisasa

    Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

    Tayari kimeuzwa
  4. Fuga Kisasa

    Naitaji kuku wa miezi miwili kwa ajili ya kufuga

    Mkihitaji auto drinkers kwaajili ya kunyweshea maji kuku wako ili msitumie vile vifaa vya kupata shida ya kusafisha kila siku siku asubuhi tuwasiliane kwa namba 0625 504 952. Picha hizi hapo chini
  5. Fuga Kisasa

    Biashara ya electronics

    Hiyo biashara unataka kufanyia wapi mkuu?
  6. Fuga Kisasa

    Msaada: Bei na mahali inapopatikana mizani ya digital kwa hapa DSM

    Mizani digital kama hiyo hapo chini kwenye picha tunauza sh. 170,000 tu, tupigie 0625 504 952
  7. Fuga Kisasa

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu, hiyo ni biashara. Unadhani ulichoandika ni sahihi?
  8. Fuga Kisasa

    Fuga Kisasa: Drinkers kwaajili ya kunywea maji nguruwe wako

    Mzigo mpya umeingia leo, weka oda yako yasasa kama upo njia ya Dar tunakutumia kwa basi. Tupigie; 0625 504 952
  9. Fuga Kisasa

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Wafugaji wengi wamekuwa wakinywesha maji nguruwe wao kwa kuweka kwenye masebeni au sehemu zilizojengewa chini, unyweshaji maji nguruwe wa aina hii imekuwa ni moja ya sababu ya nguruwe kupata magonjwa kutokana na uchafu kuingia katika maji wakati mwingine nguruwe halalia na kukanyaga maji hayo au...
  10. Fuga Kisasa

    Jinsi ya kusafirisha mzigo South Africa

    Ni parcel ina kama kilo hamsini boss, sio mzigo wa kuharibika.
  11. Fuga Kisasa

    Jinsi ya kusafirisha mzigo South Africa

    Habari zenu wakuu, Kuna mzigo nahitaji kusafirisha South Africa, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna basi ambalo linafanya safari za Zimbabwe au nchi nyingine jirani na SA kisha mzigo ukifika Zimbabwe kampuni hiyo hiyo iwe na basi la kupeleka mzigo mpaka SA. Au kama kuna njia nyingine mbadala...
  12. Fuga Kisasa

    Naomba kufahamu bei ya jumla ya tambi

    NA Nashukuru sana mkuu
  13. Fuga Kisasa

    Naomba kufahamu bei ya jumla ya tambi

    Habari zenu wakuu, Ningependa kufahamu bei za tambi (Jumla) kwa hapa Dar ipoje? Kwa jina lingine ni pasta au spaghet. Kama kuna anayewafahamu wauzaji wa jumla anaweza kunipa mawasiliano yao nitashukuru sana. Mbarikiwe wakuu
  14. Fuga Kisasa

    PAYPAL: Watanzania hawawezi kupokea hela

    Kwa mtu yeyote mwenye pesa kwenye account yake ya Paypal na anashindwa kuzitoa, mimi nanunua hizo pesa kwa makato ya 5%. Unanitumia mimi then mimi nakurushia kwa tigo pesa kwa kukata asilimia tano, kama unataka kuuza kitu online na mtu wako kasema hawezi kutuma pesa kwa njia yoyote ile isipokuwa...
Back
Top Bottom