Recent content by Fuchi

  1. F

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    kwakiasi Fulani unafanana , lakini hata muungano waounamatatizo kama ya kwetu, Northern Ireland haitaki kabisa kuwa ktk huo ungano na kule ndiyokwenye street fighting inayoongoz ulaya na niyapili duiani ikifaiwa na south Africa, hata ugomvi na Gadafi ulikuwa ni ufadhili naoutowa kwa majeshi ya...
  2. F

    Uraia wa waTutsi !

    pamoja na kuwa sipendi saaana kuingia ndani sana ya uzi huu ila naufuatilia kwa karibu, najua bapa bongo wote tutsi na hutu tumeishi nao sana tu, kule mpanda mwese ilikuwa ni ngome kuu ya kambi ta tutsi na bulyankuru tabora ni ngome kuu ya hutus hizo za kigoma ni changa saana kiumri. kwangu...
  3. F

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    mi nakumbuka siku wakorofi wote tulipopigwa bogi toka oljoro kwenda camp ya makuyuni pembezoni mwa mbuga ya manyara ile kufika tu , tukakutana na twiga pundamilia na swala ndani ya camp, si tukawaza kuwa lazima simba wawepo maeneo hayo pia, kesho yake asubuhi tulitega kazi kwa kisingizio cha...
  4. F

    Wafanya biashara Lipeni kodi acheni ubabaishaji

    tatizo katika nchi yetu wafanyabiashara kwa muda mrefu wamekuwa hawalipi kodi kama jinsi inavyotakiwa, ndiyo maana kila mtu anakimbilia huko. huu ndiyo muda wa kujua nani ni mfanyabiashara wa kweli na nani ni mbabaishaji, Serikali kwa hili tupo nyuma yenu lazima walipe kodi mbona sisi...
  5. F

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    asante mkuu kwa ushauri nitazingatia yote, hasa hili la kukata vitovu nilikuwa sijaliwazia kabisa , nilidhani nao wanazaa kama ng'ombe au mbuzi bila usimamizi wa karibu saaana , kumbe mpaka kitovu wakatwe! hapo kweli nahitaji mtu mwingine mwenye uzoefu huo. asante
  6. F

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    yah, naona hili ni wazo zuri linaweza kuwa ni suluhisho la wasiwasi wangu, nitafanya hivyo mkuu lakini pia nitaendelea fanya mawasiliano humu JF ili kama nitapata ugumu fulani tushauriane.
  7. F

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    wasiwasi kidogo nilionao ni jinsi ya kulea piglet , kwani natarajia watazaliwa wengi kwa kipindi kimoja kifupi yaani february, na hasa ukizingatia upya wangu ktk fanii hii kidogo inanitia wasiwasi . ninachijiandaa kwa sasa ni chakula cha kutosha tu, hivyo ombi langu hapa JF kama kuna mwana JF...
  8. F

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    inapotokea unyevu umekuwa mwingi unatakiwa kuongeza either pumba za mpunga or randa za mbao , nakama ni kipindi cha kiangazi waweza weka majani makavu. hii inakuwa ndiyo kama kuosha banda, hivyo vyote vinapatikana bure katika mashine za kukoboa mpunga au kuranda mbao. chakuongeza ni kuwa...
  9. F

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Baada ya kupata idea ya ufugaji kitimoto hapa JF niliamua kutafuta zaidi namna ya ufugaji wa hawa kitimoto. Niliamua kwanza kutembelea wafugaji wa kuu wa kitimoto hapa morogoro, ambao ni SUA , Magereza Kingulwira na Pangawe kwa Mkorea. nilivutiwa zaidi na Mkorea wa pangawe kwani yeye anafuga...
  10. F

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    pia masimu wa kilimo cha uhakika kwa moro ni February kwa sasa tumeanza kuandaa mashamba ,kinyume cha hapo ni kubahatisha,kwani kwa sasa kilimo cha vuri si chauhakika sana kama ilivyokuwa zamani.
  11. F

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    kwa ujumla mazao mengi yanakubali hapa moro,inategemea mpango wako ni zao la biashara au chakula na wapi unapohitaji kuweka base yako. kama ni uelekeo wa kurudi dar mazao ni mahindi,ufuta,mtama,mbaazi,kunde nk, kama uelekeo ni Dom ni Alizeti mahindi mpunga na upandaji wa miti haza mitiki nk...
  12. F

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Nikweli mkuu , kwakuwa wote tupo moro ni rahisi kutembeleana na kubadirishana mawazo, karibu. natarajia kwanda Dar kufanya Savey ya masoko ili niwe na uhakika na kinachoendelea.
  13. F

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    mkuu nimekuwa nafuatilia mara kwa mara uzi huu, kwakweli unamanufaa sana, nami pia ni mdau kwa kiasi fulani naona ni kama tunafanana jinsi tulivyoanza, nie niko mkambalani njia ya dar, nilianza na nguruwe 30 kama ifuatavyo:- 2 madume yakuzalisha, 10 madume ya kuuza haya niliyahasi, 18 majike za...
  14. F

    Maalim Seif Sharif ataka msaada wa kimataifa ili Zanzibar iwe huru!

    kumbuka mwak juzi mlivyochoma maduka ya wabara huko Zanzibar, lakini bara hamjawahi kubughudhiwa hata kidogo . hayo unayoyasema rafiki yangu wa kipemba anayesoma huku bara alinielezea kuwa ni kweli wapemba hawayakubali mapinduzi ya Zanzibar, akaeleza zaidi kuwa mnachokitaka baada ya kuuvyunja...
  15. F

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    kweli niailikuwa hiyo lakini wazenji waliisha jijengea hisia kubwa kuwawananyanyaswa, hata wakaanzisha move za hatari , walianza na kuchoma moto investment zote za wabara, kisha kuingia makanisani , nadhani wangeendelea kufanya mabaya zaidi. bora tuelekee huku kwa busara zaidi kwa sasa.
Back
Top Bottom