Recent content by fshimbi

  1. fshimbi

    JamiiForums Tanzania njoo nkuzie jiko la umeme

    Nitakutafuta
  2. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Namba yako ya simu?
  3. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yenye mwanga na matarajio mapya

    Sasa baada ya hotuba ya Rais alipo kutana na sector binafsi sasa nimepata picha kwanini Mh. Rais alitumia usafiri wa gari katika kampeni zake kwani alijaribu kwa nguvu zake zote na kila namna kukwepa na kukataa kile kinacho julikana kama takrima ambayo baadae Inge athiri kwa kiasi kikubwa...
  4. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Assad tambua tulipofikia atuitaji kiongozi aina ya kikwete nikweli usemayo lakini ili tutokeapa tulipo tunaitaji dictator maana wafanyakazi wengi wa serikali wamezoea kufanya kazi kwa mazoea akuna jinsi acha atunyooshe labda sasa kila mmoja atatambua umuhimu wa kuipenda nchi na kufanya kazi kwa...
  5. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    Jamaa wanatunyoosha ndo maana huwa hawajali atakidogo wanapitisha bajeti za kipumbavu zenye kunyonya wanyonge
  6. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Alipotembelea muhimbili na kupewa maelezo kwamba MRI haifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili mh Magufuli alisema hivi 'jamani mashine mbovu kwa miezi miwili!, afu watu wanasafiri kwenda nje! Mmmh! Kweli kabisa!, HAWA WENGINE MUNGU ATAWALIPA'. Je hao wengine ni nani? Make ukiangalia watu wote...
  7. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu inapata moto na kujizima

    Feni kimeo
  8. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group wataendelea kuandaa Sherehe za Kuzaliwa Rais pale Magogoni?

    Teh teh teh teh teh teh dah! Watu wana maneno
  9. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Maana kama alikuwa anawaonjesha hivi
  10. fshimbi

    JamiiForums Tanzania Sera kuu ya CCM ni Dar kwanza, Hongera wamakonde wa Mtwara!!

    Wewe ndio huwelewi Karibu kusoma tena
  11. fshimbi

    JamiiForums Tanzania CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    Inawezekana alinunu elimu
  12. fshimbi

    JamiiForums Tanzania CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    Unaota kweupeee, maskini pole sana.
Back
Top Bottom