Recent content by frydlant

  1. frydlant

    JamiiForums Tanzania Flyover bila hesabu ni hatari, hapo ni TAZARA leo hii

    :oops::oops::oops:
  2. frydlant

    JamiiForums Tanzania IS AFRICA DANGEROUS AND UNCIVILIZED ?

    Watch
  3. frydlant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    :D:D:D:D:DHaya ngoja niondoke huku ambako ukibishana kuhusu magorofa ndo ishara ya Uzalendo
  4. frydlant

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani wamuwakia Lissu, kwenda DW kutoa ufafanuzi wao

    Bongo kuna sinema nyingi sana
  5. frydlant

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani wamuwakia Lissu, kwenda DW kutoa ufafanuzi wao

    Mbunge wa Siha Godwin Mollel kalihakikishia Bunge na watanzania kuwa anazo sample zinazothibisha nani wahusika wa shambulizi si polisi wangeanza na huyo mwenye ushahidi au?
  6. frydlant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    :D:D:D:D:D Makapuku wanapatika Kibera na Tandika
  7. frydlant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kama mtu ananunua bundle ya 2000 kila siku atafute kazi ya kufanya. Angekuwa ana wife router nyumbani kwake au ana bundle unlimited ya miezi mitatu au angalau ya mwezi mmoja ningekaa kimya
  8. frydlant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii battle ya Kenya na Tanzania sijawahi kuilewa hata kidogo, watu hawana pesa mfukoni na wanaishi Jangwani, Tandika na Mwembe Yanga lakini wanajivunia magorofa, watu wanaishi Kibera, Mitumba na Mathare bila vyoo lakini wanajivunia kiingereza na ndege, maisha yakiwatinga wanakimbilia Ulaya nchi...
  9. frydlant

    JamiiForums Tanzania Songwe Airport ni Bomu linalo subiri kulipuka

    Mfwile mundu ghwa kyala:eek: Ikinyakyusa kyandile muno abhakinga bhikuti witandeti(internet)
  10. frydlant

    JamiiForums Tanzania Songwe Airport ni Bomu linalo subiri kulipuka

    Wenyewe huita Songwe International airport, Sijui pande za huko tafsiri ya International airport inafahamika ama la? uwanja bila taa, customs na border control hauna sifa ya kuitwa international. Songwe hata baggage carousel hakuna :rolleyes:
  11. frydlant

    JamiiForums Tanzania Dodoma International Airport.. CCM Oyeeee

    Hiyo ni proposed new airport katika jimbo la Bulacan ufilipino. DOTr to expedite Swiss challenge to the Bulacan airport proposal
Back
Top Bottom