Recent content by Frumence M Kyauke

  1. Frumence M Kyauke

    Computer4Sale Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa

    Picha ziliambatanishwa, pengine hukufungua vizuri
  2. Frumence M Kyauke

    Computer4Sale Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa

    Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa Bei 1M Mawasiliano 0623745875 Specifications Display Retina display 13.3-inch (diagonal) LED-backlit display with IPS technology; 2560-by-1600 native resolution at 227 pixels per inch with support for millions of colors Supported scaled resolutions: 1680 by...
  3. Frumence M Kyauke

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
  4. Frumence M Kyauke

    Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

    Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili. Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu...
  5. Frumence M Kyauke

    TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes maarufu 'AKA' amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika barabara ya Florida jijini Durban nchini humo. Rapa AKA alitimiza miaka 35 Januari 28 mwaka huu.
  6. Frumence M Kyauke

    Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  7. Frumence M Kyauke

    Sababu za ngao (push bumper) kupigwa marufuku baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania

    Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
  8. Frumence M Kyauke

    Wanaume wenzangu msitafute laana acheni mchezo wa kutumia ulimi kuupiga deki uke

    Kuna jambo moja duniani ambalo watu wengi wanashindwa kutambua, Jambo usilopenda wewe kwa wengine ni jema. Hakuna uwezekano wa kuwataka watu wote wafuate kama unavyoamini wewe. Kwako ni laana kwa mwingine ni zari. Baadhi ya watu wataungana na wewe na wengine watakushangaa.
  9. Frumence M Kyauke

    Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  10. Frumence M Kyauke

    INAUZWA Raba Original za Kiume

    Original Man Sneakers 120,000/= Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  11. Frumence M Kyauke

    INAUZWA Raba Original za Kiume

    Original Man Sneakers 90,000/= Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  12. Frumence M Kyauke

    INAUZWA Raba Original za Kiume

    Tuwasiliane WhatsApp boss
  13. Frumence M Kyauke

    INAUZWA Raba Original za Kiume

    Raba Original za Kiume zinauzwa. Fuatilia uzi huu mara kwa mara ili kuona bidhaa mpya. 80,000 Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  14. Frumence M Kyauke

    Meli ya mizigo ya Tanzania imepinduka Kusini mwa Iran

    Meli ya mizigo ya Tanzania iitwayo Anil imepinduka katika bandari ya Assaluyeh Kusini mwa Iran Siku ya Jumanne, Januari 24 kutokana na mpangilio mbaya wa Makontena kwenye bodi. Ajali hiyo imetokea katika Bandari inayohusika na kemikali za petroli na gesi zinazozalishwa nchini Iran iliyopo...
Back
Top Bottom