Recent content by Fridayborn

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

    Mkuu chukua gari hiyo ni nzuri mnoo achana na hao wanaokukatisha tamaa. Ninahakika hautajutia, mimi ninayo mwaka wa tatu huu service nilofanya ni ndogondogo tu haina usumbufu kabisa.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu, hili ni aina gani ya jiwe?

    Sawa kiongozi.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu, hili ni aina gani ya jiwe?

    Hahahaa sio udi mkuu ni jiwe kabisa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu, hili ni aina gani ya jiwe?

    Asante mkuu, ngoja nifatilie.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu, hili ni aina gani ya jiwe?

  6. F

    JamiiForums Tanzania Ubora wa tank za kuhifadhia maji za Tritank (Arusha)

    Boss kwa Geita-katoro bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Morogoro sehemu gani?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Mkuu sony xperia Z2 bei gani?
  9. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Bagamoyo aje morogoro manispaa. Idara -sekondari.
  10. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Bagamoyo aje morogogoro manispaa.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kada ya Record management

    Habari wanaJF, Mimi ni mtumishi wa umma ninatafuta mtu wakubadilishana naye kituo cha kazi, kada ya utunzaji kumbukumbu 'Record management assistant II' wakutoka mikoa kati ya Dodoma, Morogoro au Pwani yeye aje Geita mjini. PM kwa mawasiliano zaidi.
  12. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita (katoro) nije mwanza jiji. Idara secondary. Maelezo zaidi PM.
Back
Top Bottom