Ubora wa tank za kuhifadhia maji za Tritank (Arusha)

No_Worries

Member
Sep 27, 2016
69
23
Wakuu,

Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).

Shukrani kwa ushirikiano katika kuokoa pesa

No_Worries!

IMG-20170119-WA0024.jpeg
 
Wakuu,

Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).

Shukrani kwa ushirikiano katika kuokoa pesa

No_Worries!

View attachment 503723
Sina uzoefu nayo, lakini nakushauri tumia tank ambazo zinaaminika zaidi na watu wengi, bei huwa zinapishana kidogo lakini pia moja ya sababu za kupishana kwa bei ni ubora...
 
Mkuu hizi tank hazina tatizo, tofauti ya bei hutegemea na imezalishwa wapi, mfano mtu atakayenunua polytank mbezi beach dar bei haitalingana na Arusha kwani wata add transport cost.
Nimezitumia tritank hazina tatizo...watembelee londhia plastic njiro bei nafuu
 
Mkuu, tofauti ya bei kati ya Simtank na Tritank ni kubwa sana. Issue ni kuwa hawa Tritank hawapo sokoni muda mrefu na kuna maelezo yasiyo rasmi kuwa bei yao ndogo sababu wanatafuta soko na siyo kwamba bei yao ndogo inaashiria ubovu wa bidhaa zao.
 
Mkuu hizi tank hazina tatizo, tofauti ya bei hutegemea na imezalishwa wapi, mfano mtu atakayenunua polytank mbezi beach dar bei haitalingana na Arusha kwani wata add transport cost.
Nimezitumia tritank hazina tatizo...watembelee londhia plastic njiro bei nafuu
Asante mkuu! Unajua cha ajabu ni kuwa kwa hapa Morogoro hizo Tritank bado zinauzwa bei rahisi pamoja na kutengenezwa Arusha. Simtank na polytank zinazotengenezwa Dar bei yake ipo juu sana. Kama Tritank zipo fresh basi hiyo ni habari njema.
 
Mkuu mimi ni mkandarasi, hivyo ninatumia sana tritank kuanzia lita 5,000 hadi 10,0000 kwa ajili ya water storage, ziko imara sana tu na ni muda mrefu sasa sija expirience udhaifu wowote
 
Cheers mkuu, nilikuwa nahitaji kupata firsthand experience kama yako!
 
Mkuu mimi ni mkandarasi, hivyo ninatumia sana tritank kuanzia lita 5,000 hadi 10,0000 kwa ajili ya water storage, ziko imara sana tu na ni muda mrefu sasa sija expirience udhaifu wowote

Lita 10,000 kwa Dar naweza pata kwa sh ngap?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom