Recent content by Frero

  1. Frero

    Hisia za kuwa na wanawake wengi kwa wakati mmoja mnazipataje?

    Hivyo ndo vizuri mkuu chepuka kwa emergence maana ma men tunaruka ruka kwa sababu mbali mbali ikiwemo kutokujiamini, ukosefu wa pesa, ukosefu wa mwanamke wa ndoto zetu nakazalika, ila ukipata pisi moja matata ukashibana nayo kuchepuka ni mara chache chache.
  2. Frero

    Msaada: Kufanya kazi Jeshini au kuwa raia wa kawaida kipi bora?

    Kama una ndoto kubwa usiingie uaskari utajipiga kufuli ila kama unataka hela za matumizi tu kupay bills, kusomesha nk ingia uaskari but most important jitathmini unahitaji nini maishani mwako usiogope njaa saana kiasi kwamba utumie cheti cha form four wakati una degree subiri nafasi ya degree...
  3. Frero

    Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

    Mkuu uzi wako nipo stationery naupiga lamination hapa.
  4. Frero

    Jumatano yangu na "Mie nataka Laki " ! Older Women '30+' Know what they want!

    Nimeisoma story yote na nimeielewa, mimi sio mtaalamu wa psycology lakini inavyoomekana sio nguvu za kiume wala utaalamu wa kumchezea mwanamke kumemfanya aloanishe godoro bali ni hiyo laki ya kulipia rejesho ndo imefanya bidada aloane. Tuzidi tu kutafuta hela wakuu.
  5. Frero

    Nilichojifunza Dar es Salaam mpaka sasa

    Mkuu umenena sanaa[emoji3][emoji3][emoji3]
  6. Frero

    Hivi utajiri na maisha mazuri vinapatikana vipi?

    1.Know how to make money 2.How to manage money 3.know how to invest money Anzia ulipo bro namna gani unaweza kuibadilisha hamsini kuwa mia mbili fanya hivyo kwa siku, wiki, mwezi, mpaka mwaka uje na mrejesho NB. Ndugu wasiwe kwenye ratiba zako za matumizi just assume upo wewe mwenyewe hapa...
  7. Frero

    Pombe ni Ndugu wa madeni

    Nishakula viapo vyote vya kuacha mtungi ila wapi nimeamua tu kuigeuza pombe kuwa my lifestyle
  8. Frero

    Nauza gari yangu Toyota Ist

    Bei ni 8.4m
  9. Frero

    Nauza gari yangu Toyota Ist

    Nauza toyota ist Gari ni yangu mwenyewe haida middle man Plate number Dpf Mawasiliano yangu 0674667123 Location posta mpya Dar es salaam
  10. Frero

    Business partner: Mimi ni mhangaikaji na fursa zipo lakini sina mtaji wa kutosheleza

    Ofcourse pesa imeshawekezwa na kama unavyojua watu wanaweka pesa ili izae pesa kuhusu ufafanuzi ni kwamba watu wengi wanasahau kuwekeza kwenye maarifa ndo maana nikasema natafuta mtu ambaye ata add kitu kwenye kampuni yangu what i mean ni mtu ambaye ana mtaji wa watu na awe na potentials kwenye...
  11. Frero

    Business partner: Mimi ni mhangaikaji na fursa zipo lakini sina mtaji wa kutosheleza

    Mimi pia nna kampuni natafuta partner mwenye knowledges na mtaji watu pesa sio kihivyo kama uko interested njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Frero

    Business partner: Mimi ni mhangaikaji na fursa zipo lakini sina mtaji wa kutosheleza

    Wazo zuri but ukisema zero risk unapotosha mkuu coz kimsingi palipo na zero risk hakuna opportunities Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Frero

    Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Kwa jinsia ya ke ni ngumu kiaina since bcoz mara nyingi mnakuwa mnahitaji rafiki mmoja tu maishani, tofauti na jinsia ya me unakuta kila category una mshikaji, mshikaji wa kunywa nae, mshikaji wa stori tu, mshikaji wa church or msikitini...na nk.....kwa ushauri kama unataka rafiki wa faida anza...
  14. Frero

    Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

    Vyote muhimu ila pesa itakupa utanashati na itakuongezea urefu ukiwa juu ya jeep unawainspire wavivi
  15. Frero

    Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Jaribu kujichanganya na watu unaowaona ni potential kwako na ni wa kiwango chako nikimaanisha elimu muwe sawa, kipato, umri nakadhalika marafiki wapo wengi sana ishu ni wewe unatarget marafiki wa aina gani mfano mimi napenda marafiki wenye lugha ya pesa pesa mda wote kama upo interested karibu...
Back
Top Bottom