Recent content by frenk julius

  1. frenk julius

    Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Huwezi kupata haki kama wewe hutendi haki, hakuna asiyejuwa kwamba kwenye ligi yetu mmekiwa mkinunua waamuzi ili wawabebe, Angalia match ya Namungo na Kagera magoli yake ni same kama la kwenu,, pia mmekuwa mnavirangua vilabu vya ligi juu na kujifanya et wadhamin, saiv mna Zaid ya vilabu 6, pia...
  2. frenk julius

    Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Sawa mmeonewa na kwenye kupiga penat alikuwepo Rais wa CAF
  3. frenk julius

    Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    Jerry ludi tu utopolo, nafasi yako iko wazi
  4. frenk julius

    Msingi wa hoja za Lissu ni kero za wananchi, zinalipa

    Kama Raisi kayakubali haya yafanyike Mimi nani nikampinge tundu lisu???
  5. frenk julius

    Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

    Kama SAMIA kayataka haya na kuyabaliki yafanyike, Mimi nani nikampinge tundu lisu!!!?
  6. frenk julius

    Bora Dkt. Bashiru akae kimya tu

    Mimi nilifikili ungeanza kuwalaumu wale wapinzani matumbo wajinga ambao walikubali kulanguliwa kwa mafungu kama nyanya, walifikia hatua ya kutusaliti sisi tuliowapa dhamana ya madaraka na kuanza kujiuza
  7. frenk julius

    CCM endeleni kujidanganya mmesahau kabla 2015 mlikuwa mnazomewa na sare zenu za kijani!

    Siasa za ccm ndo hizi za kuwapumbaza wanachi, saiv kuna mgao mkubwa wa umeme tunaletewa hoja za kupumbaza Bahati mbaya na upinzani wanaingizwaga cha kike wanatlowa kwenye reli wakifikili ccm wako siliazi, Hapo siyo ajabu bashiru akavuliwa uanachama na upinzani wakafanya mapokezi makubwa na...
  8. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Nacheka kimoyomoyo Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  9. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Hizi taarifa sijuw huwga zinatengenezwa siku ya mkutano Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  10. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Mkuu hebu jaribu kumlekebisha wazir hapo Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  11. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Habari, naomba msaada kwa aliyemwelewa mheshimiwa waziri makamba hapa atusaidie.
  12. frenk julius

    99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

    Futa haraka ujinga huu Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom