Kelele zimewashtua mmeamua kurewind mkanda maana stearing angefia kwenye maua km ilivyokuwa kwa MO shenzi type,usitetee wezi...you feeble minded zombie!
Ni ujinga kumtegemea mwanadam..Riziki utoka kwa Mungu sio mwanadam,
Kukaa kimya sometimes ni akili na busara.
Now look how you've expose your brainless head!
Utawala wa kishamba kweli..yaani unajiibia kiatu uku umekivaa then unapiga kelele umeibiwa!
Anyway ndo laana za umwagaji damu zinavyokuwa,mwisho wake ni fedheha hapahapa duniani
I second you...pia kuna taarifa manunuzi ya ovyo ya ndege,mradi wa umeme na walioiba nyaraka ni wale wale wasiojulikana na wamejua zilipohifadhiwa!DPP angejiudhuru tu maana kufanya kazi na mapanya buku segerea itamhusu tu baadae awaulize akina Mramba maana wakati ukifika hakuna atakaembeba tena
Jiwe anatafuta hela za uchaguzi..tumeshapigwa tena na uyu jamaa..ilikuwa manunuzi ya ndege,sgr,madini,miradi ya umeme nk na sasa hili la mafisadi kumlipa hela kwa kumtumia dpp..jamaa ni disaster!
Wewe ndo haikumuelewa viziri..alisema atarudi nyumbani urais ni majaliwa kama chama chake kitamuhitaji,kuhusu usalama wake hakusema serikali ndo imhakikishie,kumuelewa genius inabidi utulie sana
Uko sahihi ila wengi hapa wanaongozwa na dogmatic tradition hawatakuelewa ni wazitto vichwani...hawataweza kujibu swali kuwa kwa nini Mungu aliamua kumtesa mwanae Yesu kwa kufa msalabani kwa ajili yetu wakati Yesu alikuwa uko juu anakula good times kwani Mungu hakuwa na njia nyingine mbadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.