Recent content by Freightliner

  1. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Heche anadai Wabunge walilipwa Tsh milioni 272 za pensheni

    272M na mtu yuko bungeni kwa zaidi ya vipindi 5 (mkuchika) na wenzie alafu umwambie nji hii kuna watu mlo mmoja ni shida atakuelewa??
  2. Freightliner

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

    yenye wanyama wanyama nnayo
  3. Freightliner

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

    we ni mtu mzima aisee,,
  4. Freightliner

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

    niambie ule wa mzungu...nipate kujua
  5. Freightliner

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

    Naombeni kuuliza kwa wajuzi na wasafiri ni gharama kiasi gani cha nauli toka hapa Tanzania mpaka China? Shukrani::
  6. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    kahama noma wana kesha, ni centre point ya kupoa kwa gari za dar-bukoba na kigoma 1.fursa ya malaya ipo 2. migodi pia ipo 3.wasukuma wapo
  7. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki lafanya Uchaguzi wa Rais, Makamu na Katibu Mkuu

    kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume
  8. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki lafanya Uchaguzi wa Rais, Makamu na Katibu Mkuu

    kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume
  9. Freightliner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifika kwenye kikundi cha watu wanaozungumza mara wakakaa kimya unatakiwa kufanya nini?

    Nawe kaa kimya
  10. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy Chato?

    njoo burigi kuna mlima wa simba
  11. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mashine za Maxmalipo naomba utatuzi

    Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa wa maxmalipo bado wapo? Namba zao nikipiga hazipokelewi je napataje msaada?
  12. Freightliner

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Njia hii mtu ambae hajui kingereza ni magifuli tu....jiulize tu ivi kuna mtu hapendi kutoka nje ya Tanzania hata kufanya survey tu lakini magu kwake fresh tu
  13. Freightliner

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

    polepole anasikitisha sana angali ukweli anaujua sana ila ndio ivo kapata ujira anaona watanzania mabwege
Back
Top Bottom