Recent content by Freestyler

  1. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    .....ULE WAKATI WA KUPATA MAJIBU UMEFIKA!....:ranger:
  2. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya Kijasusi kutoka Uingereza kuhusu uchunguzi wa mtoto wa mgombea Urais Mtarajiwa ....

    Hii ilikuwa inamhusu akiwa CCM..Maadam sasa yuko CHADEMA basi haimhusu tena!..na anafaa kuliko Dr. W. Slaa kugombea uRAIS wa JMT!.....:bowl:
  3. Freestyler

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Magu: kuweni makini kwa wingi huu wa watiania ubunge

    Umezungumzia uwepo wa watia nia takribani 30, lakini umewazungumzia 6 tu huku ukimsifia Pamba, bila kugusia madhaifu (kama yapo).Jaribu kuwa 'neutral' kidogo.Si kweli kuwa kila mgombea ana madhaifu tu.Mwambie Pamba akupe madhaifu machache basi 'uzugie'!!
  4. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Muhimbili vs Agha Khan

    Kwahiyo kuna huduma ilikosekana MNH sio? What a shame!
  5. Freestyler

    JamiiForums Tanzania MOH kusomesha mtoto wa mkubwa UK ni uungwana?

    Ahsante Kapotolo na wengine ukweli unabaki kuwa: -Kozi ya Paediatric dentsistry inafundishwa MUHAS -Kozi ya Paediatric dentistry ni ghali zaidi UK kuliko Tanzania -Muda wa kozi zote kwa nchi zote (UK na Tanzania) unakaribiana kama sio kufanana -Kati ya madaktari wa kinywa (DDS) watatu walioomba...
  6. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Ngeleja; Sweden kuna kashfa ya nishati yetu

    Badala ya kujibu hoja 'wengi' wameishia kumpiga mtoa hoja!...
  7. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Aga Khan wameshindwa ku-diagnose (kugundua) malaria???...... Nakutakia uponyaji wa haraka ndugu yangu Zitto.
  8. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Mkoloni: Antivirus vol. II inakuja na ukweli

    Madogo wanampoteza Mheshimiwa! Apunguze time nao, ka anawapenda sana awalipie hela ya studio inatosha....
  9. Freestyler

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Maoni juu ya Reform [Survey]

    Naona wanaelekea kufanikiwa kuongeza umri hadi miaka 40 ili warudi tena!
  10. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya Kudaload Video

    'daload'?....napita tu!
  11. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

    Mkuu ni-PM hiyo link...though ingekua better uimwage tu..au unawe unaogopa?
  12. Freestyler

    JamiiForums Tanzania KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

    I know wat's next..ccm nao watachoma moto za chadema..then mgao wa umeme utaisha,mfumuko wa bei utapungua,uchumi utakua nk nk!...
  13. Freestyler

    JamiiForums Tanzania ?Issey Miyake L'Eau Bleue

    Ok nimeshapata maelekezo kwenye post ilopita!...
  14. Freestyler

    JamiiForums Tanzania ?Issey Miyake L'Eau Bleue

    Iko sehemu gani hiyo pharmacy pls?
  15. Freestyler

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Muuaji wa Wanawake aibuka Dar

    Hatimaye muuaji wa wanawake Dar akamatwa........ MTUHUMIWA WA MAUAJI.. Hivi karibuni umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ulifurika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kumshuhudia mtuhumiwa wa mauaji ya wanawake kwenye nyumba za kulala wageni, Protas Massawe aliyefikishwa mahakamani hapo...
Back
Top Bottom