Recent content by Freesociety

  1. Freesociety

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Real Madrid wapigana mazoezini, mmoja apelekwa hospitali

    Kafanya nini star wenu mpaka mumtimue?
  2. Freesociety

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Tume ilitumia taarifa za Polisi ambao nao wanatuhumiwa kuua waandamanaji

    Palagraph ya mwisho ni nyoko(funga kazi).
  3. Freesociety

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ndugu, mimi nipo bonde la ziwa Rukwa eneo la Kilyamatundu maarufu Kamsamba, haya mambo tulikua tunayasikia Tunduma kama siku 4 nyuma. Lakini jana tarehe 4 April limetokea eneo hili. Muhusika(mwizi wa nyeti) alipigwa mpaka kuchomwa moto. Usibishe bila uhakika. Uliza wenyeji.
  4. Freesociety

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Yasikie tu, simuliwa sana. Omba yasikukutd.
  5. Freesociety

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Yasikie tu, simuliwa sana. Omba yasikukutd.
  6. Freesociety

    JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu isiwe kauli ya kuwahukumu wanaCCM wote.

    Hahahaaaaa! Hii nyundo ni ya kg 20. Acha wapambane na hali zao. Kutesa kwa zamu.
  7. Freesociety

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kichaa anachekesha akiwa hatoki kwenye familia yenu Jibu mujarabu kabisa
  8. Freesociety

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Hatari.
Back
Top Bottom