Recent content by FreeJava

  1. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Daaaah usifurahi kwa mauaji hayo
  2. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Wew ni mpinga kristo,
  3. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Jerusalem is ours whether you want or not!

    Umenena kaka hao watoa mada wengne wapo kwa ushabiki tu, daah utashabikia vip yanayoendelea pale kwa bwana Netanyau kwa kuufanya Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, hamujui kuwa kuna agenda za siri ambazo wao vichwan mwao wanazjua wenyew bas utakuwa hauna tofaut nao maana na wew utakuwa ni mmoja...
  4. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    True fact..
  5. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Poa nigga nitaitafuta hyo habari niifuatilie, ila haina shida na watuambie tuu kama ukisoma shule binafsi na ajira hamna.
  6. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy akemea kitendo cha Mbunge kumchoma sindano mwanafunzi; asema kazi za kitaalamu zifanywe na Wataalamu

    Daaah sjui niandikaje maana kla sku tumechoka kuona madudu ya nchi hii ya Tz, bas ngoja tu niende pale kwa Mama muuza mgahawa nikaangalie kama tayari ashapika supu maana nsije nkajikuta nmetukana bure.
  7. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni kutuibia wateja wenu, TCRA angalieni haya makampuni yanavyotufisadi wananchi

    Bila kificho Airtel wanaongoza kwa kukata salio kweny simu zetu.
  8. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Utapeli jamani watumishi chukueni tahadhari

    Ookei
  9. FreeJava

    JamiiForums Tanzania AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Ndo hvyo kaka, magari ya jeshi yana speed kweli ila hilo halionekani.
  10. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

    Ili swali nami najiulizaga sana, labda watakuwa wana ji-pretend kumbe na wao hali inawabana.
  11. FreeJava

    JamiiForums Tanzania AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Ahaaa broo bhana. Mungu ametwaa waja wake R.I.P
  12. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Alama iliyopo mkono wa kulia ni ya nini?

    Chanjo ya ndui...???? Sikubaliani.
  13. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya mtoto aliyeuawa na fisi yazikwa

    M/Mungu amlaze pema.
  14. FreeJava

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mpaka mtu unafikia hatua ya kumiliki line ya mtandao wa Halotel?

    Broo mbona wapo vzuri sana kwa kias, Mtazamo Wangu.
Back
Top Bottom