Recent content by Free-zy

  1. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, Watanzania tunakupenda sana na tuna imani na wewe. 2025 lazima Ushinde kwa Kishindo

    TUTOKE KWENYE UCHAWA TWENDE KWNYE UKUNGUNI SASA....khaaaaah
  2. F

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama anaupiga mwingi saaaaan....Hiv karibuni kutakuwa na film industry kubwa sana tz...zaidi ya hekta 80 kapewa msanii moja zanzibar, kitu kitaitwa ZOLLYWOOD
  3. F

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Lazima ajue yeye peke yake, tukijua tutamtoroka kwa kumzidi speed, tutangulie, hata Mwalim Nyrr alifanyaga hvyo hakutakaga watu wajue.....
  4. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

    Huu ni ukarimu wa yanga jaman…..
  5. F

    JamiiForums Tanzania Makonda inabidi awe gerezani sio mitaani polisi fanyeni kazi yenu

    Mm nampa Kira yangu urais TZ kama atagombe mwamba mwamba sana huyu..
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    Wanaomba mchezo uondolewe..? Mbona mm sielewi apa uondolewe au usogezwe mbele…? Naona kama singida wameitisha sana simba
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Na Mbez umerud ss hv aiiiseh
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Kwa hali hii mnaonaje Yule rais wa Dar es salaam akapewa kiti….makoda?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Sheta upo nyumba nyeupe nn…?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Au ndio Mkataba unatiwa sahihi uku Mbez
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Au ndio kusema mbezi imeuzwa tiari…?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ulipo Kuna umeme, huyu January Makamba anafeli sana

    Hao wenye umeme saa hz rais wao ni nan kwan…?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Napofanya manunuzi mtandaoni natakiwa kulipia kodi tena?

    Naomba kuuliza, Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Video za ngono zinazovujishwa kila wakati zimekuwa kero sasa

    Tatizo lipo apo kweny kujua.....
  15. F

    JamiiForums Tanzania Video za ngono zinazovujishwa kila wakati zimekuwa kero sasa

    Kwan alikubalije kurekodiwa......?
Back
Top Bottom