Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake.
Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina...
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana tumekutana tu kitaani.
Sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni...
Naomba nipate ufafanuzi kwaabinti hivi shida huwa inakuwa ni nini pale uanapokutana sehemu za starehe na mwanaume kama bar,grocery anataka mkae mule wote, na mnywe wote na mwanaume na kumwambia umaumwa tumbo
Hivi hili kisingizio cha tumbo kwanini ni kwa wanawake,wengi??
Mnakuwa mnamaanisha...
Waungwana nipo kwenye dozi, natumia PEP baada ya kuwa exposed na mazingira hatarishi ya maambukizi.
Kawaida nakunywa vidonge hivi mida ya saa nne usiku na leo nina siku ya 8 tangu nizianze.
Jana usiku nilisahau kumeza baada ya kupitiwa na usingizi na nilishtuka alfajiri ya saa 11 asubuhi na...
Kumejengeka dhana au fikra miongoni mwa viongozi wengi wa kiafrika na Tanzania ikiwemo kuwa upinzani unaweza kufa,viongozi hawa wamekuwa na tabia ya kuwaaaminisha wananchi wao pia kuwa upinzani unaweza kufa.
Sababu ya kuandika makala hii yenye kichwa cha ''dhana ya kufa kwa upinzani na faraja...
naomba kuuliza swali....kusikia mwilini kama vitu vinachoma choma hivi halafu sometimes kama kuna vitu vinatembea mwilini na pia huwa mwili unawasha..Tatizo linaweza kuwa ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.