Ugonjwa nisiojua

Hunteroflove

Senior Member
Sep 18, 2014
126
92
Jaman waungwana hebu nisaidieni nilimgegeda Demu mmoja mda mrefu baada ya tendo kuisha nikaanza kusikia kizunguzungu hapohapo hii week ya sita sasa inaelekea ya saba homa macho mazito na ninahisi vitu vinachoma mwilini na km vitu vinatembea hivi nimeenda hospitali Kumweleza dokta akanipima malaria nikautwa na malaria ila baada ya dozi hali ileile au ndo tayari waungwana
 
Huyo dem ni wa siku zote au ndo mara ya kwanza? Ka ndo mara yenu ya kwanza; Uza mali zako ujilie haraka, kwani umelala na mke wa mutuu. Jini mahaba. Hauponi ng'o. Mkome kujifanya vijogoo
 
Jaman waungwana hebu nisaidieni nilimgegeda Demu mmoja mda mrefu baada ya tendo kuisha nikaanza kusikia kizunguzungu hapohapo hii week ya sita sasa inaelekea ya saba homa macho mazito na ninahisi vitu vinachoma mwilini na km vitu vinatembea hivi nimeenda hospitali Kumweleza dokta akanipima malaria nikautwa na malaria ila baada ya dozi hali ileile au ndo tayari waungwana

Mara ya kwanza mkuu hichi kizunguzungu na homa ya mbali kinaninyima aman maana nashindwa hata kufanya issue zangu za kila siku sjui anamajini
 
Mkuu hebu nenda kapime HBV.

Maana hizo dalili kama zinaendana vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom