ugonjwa nisio ujua

free one

Member
Mar 26, 2017
14
8
naomba kuuliza swali....kusikia mwilini kama vitu vinachoma choma hivi halafu sometimes kama kuna vitu vinatembea mwilini na pia huwa mwili unawasha..Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Pole sana, ila nenda kafanye FBP ( full blood picture) huenda tatizo lipo kwenye damu sina uhakika lkn nakushauri tu
 
Pole mm mwenyew na tatzo hlo ila cjui mpak sahv ni nn japo wengne wanasema upungufu Wa vtamn B wengne wanasema hovu iliyoptiliza wengne ksukar wengne matatizo ya Neva hata havielewek
 
Achana na huyo anakutsha mm nlikuwa kama ww juz nmeenda kupma nkambiwa na uti nmemeza Dawa za uti na minyoo nmemalza doz Leo cku ya 2 cjaskia tena kuchomwachomwa xo na ww Fanya hvyo itakuwa minyoo au hyo uti
 
Mkuu kuna baadhi ya dalili za magonjwa huwa zinafanana ili kupata uhakika bora ufanye check ili uweze pata tiba sahihi
 
Back
Top Bottom