Kwa watu makini kabla ya kuvuka barabara wanaangalia kushoto na kulia na ndivyo inavyotakiwa hata wakati wa kutoka Maoni yako ni vyema ungesikiliza pande zote,naamin jf kuna magreat thinker ila kunawakati nakwama.
Sio lazima kiongozi atumie lugha Kali,mbovu,vitisho ili aonekane yupo makini?kiukweli hajatumia lugha nzuri kwa watu anaowatumikia@viongozi ni lazima uwe na uwezo wa kufikiria maneno unayoongea yatakuwa na impact gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.