Kinyanganyiro umeya- UKAWA OYEE!

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
“Leo (jana) Ukawa tumeleta madiwani kutoka Zanzibar na wamefikia 36, CCM wao wanao 31 na CUF 14. Kwa namba hiyo bado tumewazidi. Wakiamua tufuate taratibu za uchaguzi tutashinda na wakiamua tupindishe mambo na kuingiza Wazanzibari pia tutawashinda,”
 
Kazeni buti UKAWA msiwaruhusu mnyanagau CCM yapole umeya wetu.Wananchi wameshaamua CCM waaje longolongo.
 
Hapa ile tafrani kama ya Tanga yaweza tokea, ila kuzuia hilo jambo lisitoke nashauri kuwa kura za hapo wasiokuwa upande wa chama tawala ziwe za wazi.
Wafanye juu chini kuwepo na utaratibu wa wao kupiga kura za wazi, hilo linaweza saidia.
 
Back
Top Bottom