Kanisa Katoliki halifundishi uhuni. Hata Dini zingine na madhehebu mengine ya ki-Kristo hayafundishi mambo ambayo si ya ki-Mungu.
Uovu wa kujihusisha na kulawiti (unnatural) ni utashi wa mtu/watu kwa maslahi yao. Na ni kukengeuka, kuasi mafundisho mema.
Kwa kuwa matendo mengi yametokana na...
Wakati vyama mbadala vikihangaika kutoa maoni, kukosoa na kupinga mawazo yasiyokuwa na manufaa kisiasa na kiuchumi hayakusikilizwa. Hata wale baadhi yao waliojitokeza kukemea na kuonya walionekana kuwa na mtazamo binafsi kwamba utashi binafsi si maamuzi na kauli ya taasisi nzima kuanzia za...
Hii inafanana na kesi ya wapendanao wawili wanataka kufunga ndoa. Mmoja kamwambia mwenzake wakapime VVU. Kufika kwa Dr. Wanataka wapewe cheti /maandishi kuwa wako salama.
Dr. kawatizama kisha akauliza swali. Mnataka mumpe nani majibu ya vipimo? Waliondoka hata bila ya kusema chochote.
Sasa hii...
It is interesting that the information police in that directorate have kept their tail firmly between their legs as far as this man’s transgressions are concerned.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.