Recent content by Free ideas

  1. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Netanyahu ampigia simu Putin akimuomba awatulize Iran

    Mnajufariji?
  2. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

    Mshirikishe Allah bro kwani ile albadir skuizi haifanyi kazi??
  3. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu wa Dar anachanganyikiwa ukimwambia unaenda kumtembelea?

    Huku hakuna mashamba ya viazi kila kitu kununua
  4. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awajibu Ufaransa, Uingereza na Canada

    Nyie mnaochinjia watu nyuma ya shingo huku mnarekodi ndio mnajua vita?. Mkipigwa mnatanguliza watoto na wnawake mbele
  5. Free ideas

    JamiiForums Tanzania January akihamia ACT wazalendo sijui itakuwaje, yule jamaa ni Fundi sana wa mbinu za Ushindi

    Ila we jaman mbona umeitoa mapema sana hi si tulisema hadi mwezi wa saba ndio tuanze kuleta huku
  6. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Bado Jambo Moja tu ambalo Kanisa Katoliki linapaswa kufanya na ni Vema ikalifanya

    Sababu ya kufia msalabani ilikua nini?
  7. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

    Hao wa ukweli wako wap?. Msiwe kama wajinga hakuna cha mungu wala shetani. Ishini kadrisheria za nchi zinavyosema achananeni na mambo ya kufikirika
  8. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Kipanya Katunix Ya leo Inamaanisha Nini ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani?

    Hiyo zambarau ni ACT huo udongo wa kaki ni Chadema. Act inatirika kwenda msitu wa kijani ambao ni CCM yaani inaumwagilia ili ukue zaidi. Kwa hiyo ACT inapitia udhaifu wa CDM kuineemesha CCM
  9. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo watanzania watatu wenye akili sana ila Serikali haijawatumia vizuri au tunasema wapo 'under utilised'

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ni vituko hivi aiseee
  10. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Kwa hiyo ikitokea hata chuo kinaungua moto wawasiliane na UDSM waje kuzima et?
  11. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Ndio aende amelewa? Au wewe hukuliona lilivokua
  12. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Lile jamaa sijui likuu la chuo lina kiburi sana halafu ni lishamba. Unajibu vipi kiholrla tu mamlaka. Kama umekuja huku kulitetea liambie liache upuuzi
  13. Free ideas

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuudhi mchina kwa habari asizozipenda. Nipo na DeepSeek ya China

    We raarifa zako zina umuhimu gani?
Back
Top Bottom