Short and clear.
Safi sana muandishi, staring ni mind smart mpk CIA waliona mapema lkn CIA hao hao walishindwa kujua mwamba anaweza kucheza na akili zao pia.
Micky zambi ya kumuua mwenzie mbinguni atachomwa na moto wa magogo
Mwamba keshapewa kitengo cha Mzee Pama,
Aliambiwa amalize masters aingie mgodini
Kuchimbua mawe sio kitu rahis,
Anyway tungoje likizo yake ya mwezi december, naamini akienda kujitetea kwa mama yetu nabii atapata na nafasi ya kuutype uzi
Mkuu kutokusikia vizuri sio kigezo, ata Mimi Nina holo tatizo na nadeal na ufundi umeme na madishi pamoja na ufungaji wa cctv camera na security alarm,
Ww fani yako Nini mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.