Kimsingi, nasema kimsingi kama shauri lilianza wakati wa uhai wa yeyote ni lazima liishe hata kama mhusika hayupo au katangulia mbele zahaki, haijalishi.
Sasa kama mahakama imeona hivyo isisahau kumtendea Hassadi haki kama anavyostahili, ili idhihirishe nguvu yake kisheria na kikatiba.
Nachangia...
Hakika uko na kumbukumbu saaafi sana mkuu, bado ninayo hii cd ya baba wa Taifa.
Ipo siku tu mambo yatakaa sawa na watanzania tutaheshimia na ujinga wa mbele kwa mbele utaisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.