Recent content by FredF

  1. FredF

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chuo kizuri cha afya kwa diploma?

    Sodoka umepanic sana jamaa angu. Hiyo ada ya clinical medicine si unaweza kulipia ulipo. Tafuta watu wakukusaidia rafiki angu. Pia mwakani mambo yanaweza kuwa sawa
  2. FredF

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ya advance kwa tahasusi ya CBG

    Panda hill ndio chaguo langu, nenda pale mkuu
  3. FredF

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Ndio uwezekano utakuwepo kama hakuomba comb za arts kwa wingi
  4. FredF

    JamiiForums Tanzania VETA inatoa diploma?

    SODOKA ulipotelea wapi?
  5. FredF

    JamiiForums Tanzania Nashukuru (HESLB) kuninyima mkopo mmenifunza maisha

    Hata waliopewa hawajaletewa allocation mpaka sasa. Huu mwaka ni tasa sio siri.
  6. FredF

    JamiiForums Tanzania Nashukuru (HESLB) kuninyima mkopo mmenifunza maisha

    Pale unapoona mtu anarudi nyumbani kisa mkopo napata wkt mgum sana
  7. FredF

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya 5 imezidi kutuonea kuhusu swala la mkopo

    Yeah ni kweli ila watoto wa maskini hatujazingatiwa tena mkuu. God help us
  8. FredF

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hawaeleweki sasa

    Najiona mimi.
  9. FredF

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hawaeleweki sasa

    Chuo gani hicho. Na imekuaje ?
  10. FredF

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majina ya waliopata mkopo baada ya ku appeal

    Ni kweli sir doctor, tuone kama pharmacy itaendelea ama ndio ukomo wetu
  11. FredF

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majina ya waliopata mkopo baada ya ku appeal

    Duuh wayatoe basi jamani
  12. FredF

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bodi ya mikopo kutangaza waliofanya appealing ya mikopo

    Online hawaweki?
  13. FredF

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bodi ya mikopo kutangaza waliofanya appealing ya mikopo

    Update za keaho kuhusu loan board naomba tupeane zikitoka wakuu. Wapi sir doctor
  14. FredF

    JamiiForums Tanzania Hatimaye bodi ya mikopo kutangaza waliofanya appealing ya mikopo

    Yangu macho. Mungu tuangalie
Back
Top Bottom