Kipi ni chuo kizuri cha afya kwa diploma?

sir doctor

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
291
66
Kuna mdogo wangu anapenda kuwa daktari naombeni Chuo cha afya kwa level ya diploma ni IPI??

Kipi ni kizuri? ana div 2 form four na GPA 2.7 PCB, msaada plz.
 
Sodoka umepanic sana jamaa angu. Hiyo ada ya clinical medicine si unaweza kulipia ulipo. Tafuta watu wakukusaidia rafiki angu. Pia mwakani mambo yanaweza kuwa sawa
 
Back
Top Bottom