VETA inatoa diploma?

kaburi jeusi

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
258
145
Iv wana JF vyuo vya VETA vinatoa diploma kweli? na je? Vyeti vyake vinaubora sawa na vile vilivyo sajiliwa na NACTE?
 
veta ina levo zake kama zile za NTA ..kuna possibility inaweza kuwa kweli japo sina uhakika sana
 
Iv wana JF vyuo vya VETA vinatoa diploma kweli? na je? Vyeti vyake vinaubora sawa na vile vilivyo sajiriwa na NACTE?
So far wanatoa Diploma ya fani za Hotel kwa chuo kilichopo Njiro Arusha, Diploma ya Ushonaji kwa chuo cha Chang'ombe na Diploma za masuala ya ICT kwa chuo kilichopo Kipawa
 
Back
Top Bottom