ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 442
- 506
Wakuu habarini,
Najua kuna wazoefu humu wa hili suala na wataalamu mbali mbali nimatumaini yangu hapa nitapata suluhisho
Nina mdogo angu anapass ya mchepuo wa CBG(chemistry..biology...na geography).
Naomba msaada wa shule binafsi yoyote ambayo ni nzuri kwa vigezo vyote kwa mtoto wa kike aweze kusoma hyo combination yake lakini isiwe Dar!
Karibuni