Recent content by FredaF

  1. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

    Narudi kukwambia tena mimi sio msaga sumu. Ila watoto wapo huku
  2. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

    Muhas hakuna madem eeeh njoo kcmc uone madakari wa mioyo
  3. FredaF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikolojia,Nahitaji msaada wenu..

    Alikuiba labour baada ya mtoto wake halisi kufariki
  4. FredaF

    JamiiForums Tanzania Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nalala tafadhali. Nitakufa kwa pressure
  5. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Nisadie hii s1031/0153/2012 na s1334/0044/2012
  6. FredaF

    JamiiForums Tanzania Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Jamani niangalizieni hii namba s3638/0104/2011
  7. FredaF

    JamiiForums Tanzania Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Msaada S3638/0104/2011
  8. FredaF

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Dr Magufuli kwa mikopo vyuoni

    Hawa ndio wanaohungwa kanga na chumvi
  9. FredaF

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Dr Magufuli kwa mikopo vyuoni

    Unajua mimi nimekosa mkopo na nasoma udaktari na nimesoma shule za kata zote. Aisee bangi yako haijaanza kulimwa Tanzania
  10. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Sana Huyu Mwalimu

    Hongera sana na Mungu akuangalie daima
  11. FredaF

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo na utoaji mikopo

    Hata mimi nimekosa mkopo na nikisoma government zote. Na nimechaguliwa kcmc ada m4.4 naona nyumbani pananihusu.
  12. FredaF

    JamiiForums Tanzania Ana division 2 kamaliza form four November 2016 na anacheti tayari.

    2014 matokeo yalikuwa kwa GPA mkuu, huyu ni division
  13. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

    Mimi nimesoma government zote ila sijapewa
  14. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

    Sioni kitu ila tumeandikishwa majina tuliokosa, wanadai watayapeleka loan board
  15. FredaF

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

    Daah kcmc ndio tupo wengi sasa
Back
Top Bottom