Nimeathirika kisaikolojia,Nahitaji msaada wenu..

Nimeathirika kisaikolojia,Nahitaji msaada wenu..

Ila inategemea sometime wazazi wanakuwaga na maneno makali sana,yani kosa kidogo la bahati mbaya ambalo hukukusudia ila maneno atakayotamka utabaki unashangaa k yatoa wapi au alikuwa amekuhifadhia anasubiri ukosee hapo ukikumbuka kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake un baki unashangaa yale ambayo anakuwaziaga.

Imagine mzazi hatunzi privacy zako,atawambia rafiki zake au hata rafiki yako kitu ambacho hukutaka ajue coz hata akijua labda haimuhusu yani anamsimulia tu bila reason ya msingi na kukusengenya juu,jamani kuwa mzazi ni kuwa mungu wa pili kwa mtoto wako,mfanye mwanao akupende,akuamini akutumaini sio kisa mama ndio iwe ticket ya kumnyanyasa mtoto vile unavyotaka mara umchagulie mchumba kwa nguvu zote eti kisa tu mama,au unamtukana hadharani mtoto above 18 na utegemee mtoto atakupenda maneno hayapoteagi kirahisi unaweza mtukana mtu kwa dk1 ila akaumia miaka 10.
Umenena vizuri sana...mie nadhani kama ulivyosema mtoto zaidi ya 18yrs aachwe hata kama kumkanya kuwe kule kwa kumuelewesha maana ni mtu mzima tayari ila chini ya 14 wakanywe tena kwa fimbo ili kuzingatia alichoambiwa.
 
kaka uwa natamani nami niandike kama ww yanayokusibu kuhusu mama yako, uwa nashindwa naona watu watanipa ushauri negative
hata mm nilikuwa mtundu balaa, ikitokea nyumbani ugomvi kati yangu na kaka yangu au wadogo zangu basi nitapigwa mm hata kama sina kosa.
ilifika kipind nilimchapa mdogo wangu wa kike fimbo, mama alitoka huko na kunikoromea akaniambia ningejua ningekupa sumu ufe toka ukiwa mdogo kipindi hicho naingia A'level akasema pia na tuone kama uendako utafaulu, ila mungu mkubwa nilifaulu.
mpaka nyakati hizi mama uwa anisemi kwa mambo mazuri, mara nyingi ananitolea mifano negative.
uwa nashangaa huo upendo kwa mama wengine wanaosifia uwa nahisi kama ni vitu vya kufikirika pia stor na mama sina kabisa
nami pia nisaidien hii kitu inanisumbua sana,naweza kukaa hata miez kadhaa sijawasiliana na mama na ninahisi poa hata yy anitafuti.
Na watu wanadhani ni stor za kubuni hizi..
 
Kama mama hakupendi kiasi hicho na umejitahidi kumwonyesha unamuheshimu na kumjali lakini bado anakuwa katili (iwe kwa maneno makali au kwa namna yoyote ile) hauna sababu wewe kujali tena lolote linalomuhusu. Jambo muhimu kwako fucus nini unakipenda zaidi katika maisha yako. Maisha mafupi sana kuishi katika wasiwasi namna hiyo

Mkuu unatakiwa uwe IMARA mwonyeshe mama UNAMPENDA lakini pia muonyeshe wewe si "jinga" kisa tu yeye ni mama sasa anatumia mwanya huo kukutesa.

Maximum respect and honor bredren.
Kaa/ishi mbali naye kuepuka migongano naye
 
Umenena vizuri sana...mie nadhani kama ulivyosema mtoto zaidi ya 18yrs aachwe hata kama kumkanya kuwe kule kwa kumuelewesha maana ni mtu mzima tayari ila chini ya 14 wakanywe tena kwa fimbo ili kuzingatia alichoambiwa.
Me kuna siku mama angu alinitukana kwa kosa ambalo sikukusudia na nilikuwa mjamzito niliumia had leo nikikumbuka nahisi upendo umeshuka moyoni nimebakiza utu tu.
 
Me kuna siku mama angu alinitukana kwa kosa ambalo sikukusudia na nilikuwa mjamzito niliumia had leo nikikumbuka nahisi upendo umeshuka moyoni nimebakiza utu tu.
Kusameheana tu best,mara nyingi wazazi wanajiona wako sawa coz ni wakubwa na washatuzaa so...wanajiona chochote wanaweza kufanya kwa watoto zao.
 
Kwanza habari zenu wadau,,kiukweli mi nahisi saikolojia yangu imevurugika,..Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu sana,sasa mama alikuwa akinipa dozi ya kichapo kama mbwa mwizi,,ilifikia hatua akawa ananiwekea kisu shingoni kama anataka kunichinja,,nilikuwa nakung'utwa soli za viatu mpaka basi,,amekuwa akinitamkia maneno makali sana hata nikikosea kitu kidogo tangu nikiwa mdogo hadi nikiwa mkubwa,, sasa nimekuwa bila amani na mamaangu,,na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kukosa aman na ule upendo wa kutoka moyoni haupo tena kisana kwa mama angu kiasi hata kummisi inakuwa ngumu sana,,,najua hakuna kama mama,najitahidi niishinde hiyo hali lakini nashindwa,,naombeni mnishauri njia ya kuurejesha moyo wangu kwenye hali ya kawaida..[HASHTAG]#Nishaurini[/HASHTAG]..
Achana naye fanya issue zingine!
 
Mbona umeshafahamu tatizo so Jiachie tu kwa mama maana hakuna mwingine zaidi duniani wa kupenda zaidi yake ,Na kipindi kile alikuwa anakupa misingi ya Maisha ,ila usije rudia kwa watoto wako
 
wewe itakua bado una mambo ya kiutundu ambayo mama ako bado hayapend,anakufundisha msikilize anayoyalalamikia n yapi? afu yatendee kazi,yawe madogo au makubwa la msingi ni kujua hayo yanayomkera kuoka kwako.
jibiidishe usiwe tegemezi sana,hiyo ndio njia ya kuprove kua umekua na anaweza kukurespect.
 
Siku zote mtoto akoseapo lazma mzaz awajibike na mzaz kilawakat akikusemea jambo moja husikii na vile akupiga mara kwa mara wahisi akupend lakin moyon kwake ajua huyu ni mwanangu sina jins sasa ww cha kufanya kuwa karibu na mama yako mzaz ni mzaz tu ukiwa karibu nae sim wampigia mara kwa mara kumjulia hal utaona upendo waja kwa kas ya ajabu
 
Dogo utakuwa na laana! Kuna post yako humu umeomba ushauri dada yako anakutaka kimapenzi, nyingine inadai mpenzi wako ukimpa elfu 10 kesho anakudai elfu 10x2,
Leo umekuja na chuki na mama yako.
Duuh
 
Kwanza habari zenu wadau,,kiukweli mi nahisi saikolojia yangu imevurugika,..Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu sana,sasa mama alikuwa akinipa dozi ya kichapo kama mbwa mwizi,,ilifikia hatua akawa ananiwekea kisu shingoni kama anataka kunichinja,,nilikuwa nakung'utwa soli za viatu mpaka basi,,amekuwa akinitamkia maneno makali sana hata nikikosea kitu kidogo tangu nikiwa mdogo hadi nikiwa mkubwa,, sasa nimekuwa bila amani na mamaangu,,na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kukosa aman na ule upendo wa kutoka moyoni haupo tena kisana kwa mama angu kiasi hata kummisi inakuwa ngumu sana,,,najua hakuna kama mama,najitahidi niishinde hiyo hali lakini nashindwa,,naombeni mnishauri njia ya kuurejesha moyo wangu kwenye hali ya kawaida..[HASHTAG]#Nishaurini[/HASHTAG]..
Mama ako anaweza kuwa na psychological condition, kumshikia kisu mtoto uliyemzaa sio normal.
Imeandikwa waheshimu baba yako na mama yako ili upate siku nyingi za kuishi katika nchi... Hakikisha hili kwanza, umsamehe.
Mahusiano ya kila familia ni jambo la kwao kitofauti sio lazima ujisikie kama wengine wanavyojisikia kwa mama zao.
Inaonekana bado kwa ndani haujakua, yaani hata siku mama akitoa amri Fulani isiyoeleweka utatimiza maana unamuogopa.
Wewe ni mtu kamili muelewe tu kama mtu mzima amua moyoni kuyaacha mabaya unayokumbuka na ubakize kumbukumbu njema na ni wazi umesema ulikuwa mtundu so alikuwa na sababu ya kukunyoosha.
 
Pole mkuu kibongobongo hawatakuelewa . Ila msamehe mama yako kuwa sure ubaya huo wakinyama asiwafanyiy wajuku ao watoto dengine..
 
mayb kutakua na ki2 mayb ashawah kufanyiwa na babaako tafta chanzo cha yy kukuchukia af najua utampnda coz utajua c kosa lake
 
Alikuiba labour baada ya mtoto wake halisi kufariki
 
nenda jeshi kudadeq halaf unaunyuti kimyaaaa... kukiwa na shida saidia ila tu stay away for a long period of tym atajua umuhimu wako show her ur dignity ili awe proud na ww itasaidia.... build positive attitude pia kwa mamaako ... uckute wew ndo unamakosa sanaaaaaa au ulkua fullterm kibaka or a stupid dumb sturbon kid....
 
Back
Top Bottom