Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959
Kama ni kweli Nyalandu amefanya maamuzi hayo, basi mi namkumbuka Nyalandu akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Namkumbuka Nyalandu aliyeandamwa na kashfa nyingi kuliko waziri yeyote aliyewahi kupita wizara hiyo.
Namkumbuka Nyalandu aliyeonja shubiri ya...
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu...
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita...
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat...
Yapi maoni kwamba kutokana na hali ilivyo sasa KATIBA Mpya inahitajika zaidi sasa kuliko wakati wowote. Na yapo maoni kwamba KATIBA Mpya inahitajika lakini kuna mambo yanabidi yawekwe sawa au yanyooshwe kwanza kabla ya kuanza au kumalizia mchakato wa kupata KATIBA Mpya.
Hebu tujikumbushe...
Mimi nakubaliana na maoni yako Pascal. Lakini kuna mambo ambayo ingefaa yafanyiwe ufafanuzi zaidi au yatofautishwe. Kukosoa na kutukana. Kukosoa in jambo jema sana na hasa ukikosoa na kutoa maoni yako mbadala. Kutukana ni kutumia lugha ya kuudhi bila kutoa hoja. Na kwa sasa watu wengi...
Nimepata nafasi ya kumsikiliza Mh Tundu Lissu alipozungumzia suala la la ndege ya bombardia ambayo serikali ya Tanzania inailipia ili iinunue kule nchini Kanada. Lakini kwanza ninaona ni vyema nieleze matabaka ambayo yanaweza kujengeka kwenye jamii kabla ya kutoa maoni yangu kuhusu suala hili...
Shujaa wa Tanzania Hachaguliwi kwenye Makongamano yanayofanyika nje ya nchi yetu. Hao ni Mashujaa Wao.
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na...
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au...
Na Injinia Msomi Uncle Fred Mpendazoe.
Kuna watanzania wameniandikia kuniomba niwablock watu wanaonitukana kwenye facebook kutokana na makala ninazoandika. Aidha wapo watanzania wanaoniomba niache kabisa kuandika kwenye facebook kwa sababu hizo hizo za kutukanwa. Kabla ya kueleza maamuzi...
Na Fred Mpendazoe
Wakati Zitto Kabwe anafukuzwa ndani ya, Freeman Mbowe aliwaaminisha watanzania kuwa Zitto ni Msaliti na kwamba hastahili kushirikiana kwa lolote na msaliti. Freeman Mbowe akaendambali kwa kusema kuwa Zitto anashirikiana na
Serikali na CCM kuihujumu CHADEMA wakitoa
mfano wa...
“Unaweza Kuwadanganya Watu Wachache Muda Wote, Lakini Huwezi Kuwadanganya Watu Wote Muda Wote”
Mh Tundu Lissu aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya uchochezi aliachiwa tarehe 27 Julai 2017 baada ya kupata dhamana. Mh Tundu Lissu alipata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari...
Nilisikiliza hotuba ya Mh Tundu Lissu aliyoitoa huko jimboni kwake akimshambulia Mh Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania JPM kwamba ni dikteta uchwara, ni mkabila na anaendesha nchi kwa upendeleo.
Ameomba Jumuiya ya Kimataifa iinyime misaada Tanzania na waizomee Tanzania kutokana na uongozi...
Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati...
Simwelewi Tundu Antipas Lissu na Chadema.
Nilipata nafasi ya kumsikiliza Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mbunge wa jimbo la Singida Mashariki alipokuwa akichangia hivi karibuni kuhusu suala la hatua ambazo zimechukuliwa na seriklai kuhusu makinikia au mabaki ya mchanga kutoka kwenye migodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.