Ni kipi cha heshima na manufaa wanachokipigania kwa nchi yetu hadi tuwaite mashujaa?

Aug 21, 2016
33
504
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamwekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongozanchi. Kama makongamano yanayofanyika nje ya Nchi yetu wanawaona watu hawa ni mashujaa, ni mashujaa wao siyo mashujaa wa Nchi yetu.

Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyoni halali. Hivyo serikaliya JPM siyo ya dikteta.Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali.Hivyo hola hizi hazina mashiko.
Kwa muda mfupi, serikaliya JPM imeonyesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa mwatanzania.

• JPM ameonye sha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzaniawengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri iIlani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongonza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa kwa hatua hizo ? Au kwa hatua hizi mtanzania yupi anagandamizwa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yoyote anayenung’unika kwa hatua hizi zilizochukuliwa naserikal ya JPM nidhahiri uzalendo wake unawalakini na nidhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au ya kukudi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wana mkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA.

Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa.

Je ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Ushujaa wao ukowapi? Je kukamatwa na kuwe kwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?

Je kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa?Hapana. Kama kwenye mikutano au makongamano yanayofanyika nje ya Nchi wanawaita mashujaa ni mashujaa wao siyo mashujaa wetu.

Wanacho kifanya wanachama hawa ni upotoshaji wenye lengo la kuvuruga amani ya Nchi yetu. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuiunge mkono serikaliya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wa marekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano. Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki na demokrasia na kutoa maoni na kuikosoa serkali bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki. Tanzania iliisha pata Uhuru wake.

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi. Hata sasa inawezekana kudai haki, kutoa maoni na kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana watu wanataka kukupoteza kisiasa usijulikane kama bado upo.

hizi nonsense zinafanya watanzania wakukumbuke.
 
Wewe ulivyokuwa unamkejeli Jakaya haya yote ulikuwa hauyajui? Au kwa sababu kaingia mtu wa kwenu umeufyata mkia kama wale viongozi wa dini waliokuwa wakitoa nyaraka na matamko kila uchao?

Edit: Kuna mwanajf kacomment humu kuwa umeshakatwa mkia na kila ng'ombe mwezio anakujua huna mkia.
 
Kama unadhani udikteta dhahiri shahiri unaoelekea ufashist kamili unafanya "mungumtu" asikosolewa basi unahitaji matibabu ya akili
"mungumtu" hana uwezo wa kujua na kupatia kila kitu tatizo akikosolewa anakimbilia polisi kupima watu mikojo
Hii sio nchi ya makondoo ambao hufuata kila mchungaji wao atakalo ikiwemo kuingia machinjoni wenyewe
Wsliokuchagua kuwa mbunge ama walikuwa wamelewa au wamepandwa na mapepo ya kisukuma
 
Kuna vitu umeongea vizuri lkn kuna vitu pia umeongea kinafiki!
Ni vizuri pia ukatuambia ikiwa Obama aliwasweka rumande hao wasema hovyo! Ni vizuri ukatueleza kama Obama aliwazuia wenzie kufanya siasa! Ama leo ungetueleza ikiwa Trump baada ya kuunda serikali amewazuia wenzie kufanya siasa!
Mnapokuwa mnatafuta vyeo na chakula chenu ni vema mkafanya hivyo bila unafiki!
Unakiri mwenyewe kwamba hata Nyerere alisimamia hoja, lkn hutaki kusema wakoloni hawakumpiga virungu wala kumzuia kupanda kwenye majukwaa, iwe ni mikutano ya wazi ama hata ya ndani! Walimjibu kwa hoja kabla ya kushindwa kwa hoja!
Kweli siasa sio vita, lkn kwa nini hairuhusiwi?
Unadhani watu wakiruhusiwa kufanya siasa watatoa hizo lugha za matusi? Lugha za matusi huja pale unapokandamiza uhuru wa wengine kusema, sote ni binadamu, hasira na chuki huwafanya binadamu kushindwa kujizuia!
Ulipaswa uushauri upande wa watawala waruhusu haki hii ya kikatiba kwa kuwaacha watu wafanye siasa!
Wakati unafanya kila juhudi za kujipendekeza kwa Rais wetu, tumia pia fursa hiyo kumkumbusha kwamba JK aliwapa watu Uhuru na haki ya kufanya siasa hivyo akasaidia kudumisha Amani ya Nchi hii.
Mshauri nae aache watu wafanye kazi zao za siasa kwa kuwa katiba inaruhusu.
Kushindwa kumshauri
utaendelea kuonekana kichekesho kwa Jamii!
Pamoja na kwamba njaa ni mbaya, lkn tutafute shibe bila unafiki!
Tanzania ni yetu sote, hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine.
 
Nikuulize kistaarabu tu, kiongozi ambae hafuati katiba katika kuongoza nchi, na wakati aliapa huku ameshika biblia kuitetea katiba hiyo, utamuita jina gani wewe..? Kiongozi ambae anadiriki kusema katiba ikae pembeni kwanza ili ainyoshe nchi, utamuita jina gani..?
 
Mwanzoni nilidhani labda wanakusingizia ila kwa makala haya nimeamini kuwa wewe jamaa umechakaa sana kifkra.

Juzi nilikuuliza maswali kama matano hivi hujibu hata moja.

Wakati unagombea Jimbo la Segerea kipindi kile nilikupinga sana sikuwa kabisa na imani na wewe .Wako watu hawakukubaliana na mimi kuhusu wewe , sasa hivi wameamini nilichokuwa ninawaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred, Kuna mahali umekosea ndio maana watu wanakuwa hawakuelewi. Hebu jaribu kutafiti ni wapi umewahi kukosea maana naona kwenye mijadala unayoanzisha hakuna mtu hata mmoja anayekuchukulia positive. Hata hivyo hiyo isikukatishe tamaa, tafiti tatizo ni nini kisha jirekebishe na kusimamia unachoamini. Fanya self improvent. Kuna siku unaweza kuwa bora na kuwa na mchango mkubwa.
 
Ng'ombe uliyekatwa mkia, endelea kupuyanga tu , ungelijua nini maana ya upinzani usingelikuwa Malaya wa vyama. Kwa kuwa mmeshagundua ukimsifia baba J, unapewa ulaji basi kila mwenye njaa anakuja na slogan yake; Mara baki, Mara chadema hawafai.
Hivi kwa nini usianzishe chama ambacho kutwa kitakuwa kinamsifia mkuu.
Chadema ni chama cha upinzani na kipo kwa ajili ya kuikosoa serikali tawala na kuiondoa madarakani.
 
..kwa maoni yangu hata "fulani" naye hana lugha nzuri.

..kila anapofanya mkutano wa hadhara hakosi kutoa matamshi ya kichochezi yanayovunja katiba au kejeli na vijembe dhidi ya vyama vya upinzani.

..matokeo yake ni wapinzani kukosa uvumilivu na kujibu kejeli na dharau wanazofanyiwa.
 
Jambo la heshima katika nchi ni kuilinda na kuitetea Katiba ambayo ndio mwongozo wa Nchi . katiba yetu imebeba maisha yetu

Inapotokea kiongozi au mtu yeyote akakiuka misingi ya Nchi atachukiwa tu na walio wengi hata akifanya jambo gani jema ila uhuru wetu name katiba yetu ni jambo zaidi.. Papo hapo akatokea mtu kutetea maslahi yetu (Katiba) dhidi ya yule anaeikiuka tutampongeza na kumuita shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom