Recent content by Fred Katulanda

  1. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Link mbona nimeweka angalia katika post hizi
  2. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Napatikana Mwanza Buhongwa
  3. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Niliyonayo ni Double Box aina ya Longstroth Sh 180,000/ ukiwa umekamilika na Kikinga Malkia ndani yake.
  4. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Wadogo mtihani lazina ukawakamatr kwenye vichuguu au magogo, ila wakubwa wao wapo wengi ukiwatega unawapata. Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga
  5. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Nimedungwa na mwiba wao (siyo kuumwa maana hawana meno) mara nyingi, sikukbuki idadi. Lakini sijutui maana kwangu ni faida inaniongezea Kinga za mwili
  6. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Ili ufuge nyuki lazina ukiasha andaa mozinga uwatege waigie ndani yake hapo ndipo utawafuga. Kufahamu zaidi pitia andiko hili hapa kwenye link: Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga
  7. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Nilishaandika kuhusu sumu ya nyuki hapa jamiiforums pia. Unaweza kusoma link: Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake
  8. Fred Katulanda

    Nimeibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wafugaji Nyuki

    Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika kwangu ni hatua muhimu. Hapa nikizungumza na Mkuu wa Wilaya Nyamagana ambaye alitembelea Nanenane...
  9. Fred Katulanda

    Nataka kufuga nyuki kisasa

    UNAJUA FAIDA YA KUWEKA KIKINGA MALKIA KWENYE MZINGA WAKO? Wafugaji wengi wamekuwa wakifuga Nyuki kwa kutumia mizinga yenye chemba moja (Single Box) badala ya ile ya chemba mbili (Double Box) maarufu kwa jina la Mizinga ya Ghorofa au kwa jina la kitalaamu la #Langstroth. Ili kutumia Kikinga...
  10. Fred Katulanda

    Nataka kufuga nyuki kisasa

    1. Ni eneo gani unakogugia? 2. Na je, umekwenda kuvuna Juni unatambua Nyuki wakiingia lini kwenye Mizinga yako? **Kuepuka kukuta Asali imeliwa tunashauti kuna na Mizinga yenye vikinga Malkia na madume (Queen Excluder) Hii itakusaidia Sana maana ukiwa na Mizinga Single bos isiyo na Kikinga...
  11. Fred Katulanda

    TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

    Pumzika Nguli, naenda Mwamba, umeiachia tasnia cha kujifunza kwako
  12. Fred Katulanda

    Nataka kufuga nyuki kisasa

    Ni sahihi Nyuki anahitaji eneo lenye maji, lakini kama shamba lako lilo mbali na mto haina maana kwamba usifuge. Jenga mabakuli na hakikisha yanakiwa na maji kiangazi.
  13. Fred Katulanda

    Nataka kufuga nyuki kisasa

    Moja: Ukiwa na Kichanja au Kibanda, hakikisha unatega Nyuki nje (kwenye miti) kisha iliingia Nyuki ndipo uihanishie kibandani. Nyuki hawawezi kuingia kwa wingi kibandani na kwa haraka kama kwenye miti. Mbili: Kibanda au Kichanja lazima miguu yake inayogusa ardhi iandaliwe kudhibiti wadudu kama...
Back
Top Bottom