Recent content by FRATE ASANTEMUNGU

  1. FRATE ASANTEMUNGU

    Ndele Mwaselela aichafua St Patrick high school kwa kuwatapeli waalimu na wazazi

    Mkuu wa shule kubwa alosoma Felix Mkosamali na Inayofadhiliwa na Ma Salma Kikwete Bw Ndele Mwaselela amewatapeli waalimu na wazazi huko DUMILA NA DAKAWA mkoani MOROGORO. Waalimu walipaswa kulipwa tangu tarehe23 Nov 2014 lakin mpaka sasa hajawalipa waalimu hao na hata simu zao hapokei. Aliahidi...
  2. FRATE ASANTEMUNGU

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    Am teaching linguistics and literature! U can pm
  3. FRATE ASANTEMUNGU

    Fatma Karume: Zanzibaris deserve say in referendum

    I really aprciate t! surely i confirm that no sooner things will b okay
  4. FRATE ASANTEMUNGU

    Mpenzi wangu akiombwa namba na mwanaume anayemtaka, anampa za kwangu

    Kaka huyu binti anakupenda kwa dhat na ndo maan wewe ulijarib yeye akakuchunguza akaona wafaa ndo maana akakutafta. Kutoa namba yako ni upendo alonao kwako mi nampongeza ana akili na anaepusha malumbano
  5. FRATE ASANTEMUNGU

    Mpenzi wangu akiombwa namba na mwanaume anayemtaka, anampa za kwangu

    Wewe ni m2 makini sana shida ya wanaume wanataka wasumbuke miaka, ni upuuzi
  6. FRATE ASANTEMUNGU

    Archibishop James University College, waliochaguliwa kujiunga na shahada 2014/15

    Kaka mbona hakunaga AJUKO TABORA ila tuna AMUCTA TABORA hii AJUCO NI SONGEA, Umenichanganya
  7. FRATE ASANTEMUNGU

    Maandamano makubwa Mwanza ya kumpokea mwenyekiti wa BAVICHA

    Polisi hupewa taarifa tu c wao watoa vibali kasome sheria za nchi
  8. FRATE ASANTEMUNGU

    Please help me on how to write a cover Letter

    Hivi unapotakiwa kutuma covering letter na CV unfanyaje hasa upande wa COVER LETTER nayo unaweza ku-attach kama CV ama ndo maelezo unayooandika kabla ya ATTACHMENT?
  9. FRATE ASANTEMUNGU

    Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Chadema ni taifa kubwa ikulu hiyooooooooooo
  10. FRATE ASANTEMUNGU

    Tamko la Jukwaa la Kikristo kuhusu Mchakato wa Katiba

    Tuisome kwa makini kisha tuitafakari
Back
Top Bottom