Recent content by FraNova

  1. FraNova

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    https://www.jamiiforums.com/threads/mwanamke-kuwa-katika-hedhi-inasababisha-kunyauka-kwa-mboga-na-matunda.2010649/ Kasome maoni ya watu hapo, jamiicheck wenyewe wameshindwa kukanusha.
  2. FraNova

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Porojo gani wakati watu wameshuhudia hili
  3. FraNova

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Huu sio ushirikina, ni jambo ambalo lipo kabisa ni kwavile hata sayansi yenyewe imeshindwa kujua chanzo chake
  4. FraNova

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Mwanamke akiwa kwenye hedhi kuna mambo mengi anayabeba kuliko huo uchafu unaoongelea, Jiulize inakuaje akichuma pilipili, chungwa, mchaichai, majani ya maboga, n.k akiwa kwenye hiyo hali mmea mzima unanyauka, hapo utagundua kuna zaidi ya huo uchafu.
  5. FraNova

    Nape unapata wapi jeuri ya kuwapangia Watanzania cha kupenda?

    Asilimia 16 wanapiga kelele mitandaoni, ni kwakua ukipiga kelele mtaani defender inakuja fasta. Wanaongea hivyo ila moyoni stress zimewajaa, wanaujua ukweli, Hiyo asilimia 60 ya aslimia 16 inatoka mtaani, kwaiyo ni kama sample inawakilisha wale waliopo mtaani wasio na uthubutu wa kupiga kelele...
  6. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Naona itakua imekugusa hii
  7. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Kama hauko tayari kuolewa unamkubalije mwanaume, huko ndio kudanga sasa.
  8. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Huyo ungeoa bomu, lingelipukia ndani likuvuruge mpaka kichwa
  9. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Mimba asitoe asee, ila kumuoa ni maamuzi yako asikulazimishe
  10. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Ukiingia mkenge tu ndipo utajua hujui
  11. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Nikajua ndiyo mnavyofundishana kwenye hivyo vikao vyenu😂
Back
Top Bottom