Recent content by Frankton

  1. F

    Umri mzuri wa kujitegemea na kuondoka nyumbani

    nna wasi wasi na huyo mwalimu wako wa hesabu form one umesema unaanza ukiwa na miaka 15 halafu form 5&6 miaka 17...kwa hyo form 1-4 unasoma miaka 2?
  2. F

    Umri mzuri wa kujitegemea na kuondoka nyumbani

    imefika kipindi vijana wengi hasa wa kiume tunajisahau sana kufikia hatua hatua ya kula ujana tukiwa mikononi mwa wazazi wetu, je umri sahihi wa mtoto wa kiume kuanza kuishi mbali na wazazi wake ni upi?
  3. F

    Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

    Habarini wakuu. Nimekuwa najiuliza sana juu ya hawa ndugu zetu, wanaume wenzetu wa kuzaliwa ambao baadae wamekuwa wakijitofautisha na sisi kwa kuamua kuishi na kufanya matendo yaendayo na jinsia ya kike.Je, ni hawajakubali kuzaliwa hivyo, je ni wanafurahi kuwa hivyo, au ni nini sababu hasa...
  4. F

    Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

    ahahahahaha! mbona kufua alinuna?
  5. F

    Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

    everlenk Ulivyoandika kwa hisia sasa! Ujumbe umefika
  6. F

    Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

    Nani atakuwa mme au mke hapo?
  7. F

    Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

    Yapaswa ushukuru sana kwa kweli maana kuna wenzako mpaka wanafikisha miaka 80 hawajawahi fuliwa
  8. F

    Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

    Katika pita pita zangu nkakutana na mwanaume anafua nguo za kike, hata nilipojaribu kusogeza karibu mboni za macho yangu ili kushuhudia kitendo hiki jamaa alichokuwa anakifanya, ndipo macho yetu yalipokutana na kumuona jamaa akijiskia aibu na kuanza kuangalia chini, naam hali hii ilinifanya...
  9. F

    Mapenzi yako wapi hapa?

    sikuujua kwa kweli
  10. F

    Kumbe alikuwa ni booom baby na siyo penzi langu

    True love inatoka wapi kizazi hiki cha sasa? labda true love to your money
  11. F

    Hebu angalia picha hii ya kizazi cha digitali

    kumbe ni halali yao kuona!
Back
Top Bottom