Recent content by frankmilanz

  1. frankmilanz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

    Wew kinacho kuuma nn hasa Hadi mishipa ya shngo inasimama
  2. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aandaa Iftar kwaajili ya wakazi wa Dar es salaam

    Kwahyo unaona SAUT NI CHUO CHA KATA?
  3. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Jamani
  4. frankmilanz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba: Tutafanya maamuzi sahihi bila pressure kwa maslahi ya Timu na Klabu

    Masoud ndio kocha
  5. frankmilanz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msipotezewe muda hizi ndizo sababu Kuu zinazopelekea Simba SC kufanya vibaya kwa muda huu mfupi na itaharibu mno mbeleni!

    Una uhakika na hlo la malimbikizo ya posho
  6. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa application awamu ya pili

    Nahtaj kusoma course ya IT bt ni art HGK ..inawezekana na chuo kp Bora kwahyo koz
  7. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

    Sawa nashukuru NPO Dom ntamwagza mtu
  8. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

    Sawa nashukuru
  9. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa application awamu ya pili

    Nifanyaje???
  10. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

    Tareh 9.8.2018..nilpeka barua ya kucancell jina langu katika chuo nilchokua nasoma awal na ilipofika ya kuapply vyuo nkaappy Tena chuo kimoja tu lakin tcu Bado hawaja kancel jna langu Mana kile chuo nilichomba bado naambiwa ninacode namba ya chuo nilchokua nasoma mwazo Apo ndo shida ilipo ndigu
  11. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

    Naomba msaada wako ndugu nimepeleka barua ya kunitoa kwenye system tarehe 9.8.2018..had Leo Bado hata sjui nfanyaj na chuo nilichoomba naambiwa ninacode namba ya chuo Cha awali
  12. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania SEC ROUND UDSM

    Mm nilipeleka barua tarehe 9.8.2018 Hadi Leo hawajanitoa kwenye system nifanyajee
  13. frankmilanz

    JamiiForums Tanzania Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

    Tcu mungu Ana waona mnavyo nifanyiaa
Back
Top Bottom