yani Serikali imeshindwa kuendesha kabisa Uchumi wa nchi Hii
na nahisi uchungu hasa vijana wengi wamekuwa mazombi kutwa kufurahia kiki na umbea wa vibamia
sijui tunaenda wapi ,wachumi wanapika data .viongozi wanadanganya mchana kweupe yani !!!!
Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa.
Mfano watu wameandika sana kuhusu uwezo wa Dr John Pombe Magufuli kuwa anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano...

kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa
Dar es salaaaaaaaam
Mpo tyariiiiiiiiiih
LOWASAAAAAAAAAH
Live in dar
Ni cku ya jumapil
Tar 20/9/2015
Katika viwanja vya
KIGAMBONIII
Saa9:00 asbuh mpka
Saa12:00 mchana
MBAGALAAAAAH
Zackem
Saa1:00 mchana mpk
Saa3:00 Alasiri
UKONGAAAAAH[pugu]
Saa3:30 Alasiri mpk
Saa6:00 jion
Patakuwa Hapatoshiih...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.