Recent content by frankfrut_

  1. frankfrut_

    Wanaume wenzangu, kuwa na mpenzi mmoja ni hatari kuliko ugonjwa wa kisukari

    "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" na maarifa anae toa ni Mungu tu, Mtafute Mungu nae atakuonesha mambo makuu na magumu usio yajua, tatizo kila kitu tutakitolea maamuza katika akili za kibinadamu, vitu vingine unahitaji Mungu ili akusaidie kuvivuka. ujumbe wangu utauelewa only if u...
  2. frankfrut_

    Mungu anaiadhibu nchi kwa sababu ya uongozi ulio jisahau

    Heri yako wewe 100% brain. Na umetoa comment inayofanana na wew
  3. frankfrut_

    Mungu anaiadhibu nchi kwa sababu ya uongozi ulio jisahau

    Huu ukame unasababishwa na uongozi wa sasa, tuuombee umrudi Mungu maana Mungu wetu ni mwepesi wa hasira lakn ni mwingi wa rehema. Kama hukumu ya Mungu ingekuwa pale tu unapofanya kosa basi hakuna ambae angekuwapo. Lakin hutupatia second chance akiamin tutamrud, sivyo kwa viongoz wetu wanavyo...
  4. frankfrut_

    Msaada wa Imani

    Imani ni kitu ambacho kupingana nacho ni kazi. Wakritu tunaamini kuwa Yesu ni Mungu. Nikiwa na maana ya kwamba Mungu ni mmoja lakini katika nafsi tatu, yaani Mungu baba, Mungu mwana (Yesu) na Mungu roho mtakatifu. Kwa mfano rahisi ni sawa na kusema gari ni moja lakni lina matair, milango taa...
  5. frankfrut_

    Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

    Soma katiba vizuri, rais anayo mamlaka ya kuvunja bunge
  6. frankfrut_

    Msaada wa mawasiliano ya officer wa sumatra mwanza

    Samahani wadau, mwenye mawasaliano ya mtu wa sumatra mwanza naomba anisaidie. Natanguliza samahani tena
  7. frankfrut_

    SUMATRA mko wapi!!?

    Nipo Mwanza najiandaa kwenda Mbeya na bus la Supershem, cha ajabu basi halipo. Inasemekana lipo njiani linakuja kutoka Shinyanga lilipo lala, lifike tupande turudi Mbeya. Sasa najiuliza hili bus halina service, na ratiba yake iko tofauti na mengine, pia kwanini SUMATRA iruhusu bus moja kufanya...
  8. frankfrut_

    Kesho ni sikukuu ila sina raha, mama kanikosesha amani kabisa

    Mpigie mama yako simu umuombe msamaha , maana kma mama yako na yy ananguwa anaandika kwa kila ulicho mkwaza tangu umezaliwa mpaka leo angekuwa na store ya vitabh, cha muhim kaa chini utafakari. Lakin kumbuka kuumpigia umuombe msamaha
  9. frankfrut_

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    Shida ni kwamba kwako/kwenu wanapika vbaya sasa katika kutafuta nafuu nako ukakuta kibaya ndo maana imekubd useme ya moyoni
  10. frankfrut_

    Kuhusu hili la stahiki za watumishi wa umma, Rais wangu kuna watu wanakuzunguka

    Sawa kwamba hajui watu hawajapandishwa vyeo na mishahara na pingana na ww! Mejarbu kuelezea vzuri, ila umekosea sehem moja. kukosa Ukwel na unafiki umefanya hoja zako zisiwe na.mashiko ndugu! Ukiamua kusema kwel sema, na uongo utajitenga. Hoja yako imekaa kujikomba flani hv uonekane ww...
  11. frankfrut_

    Bado na imani na serikali yangu

    Kuna kitu watanzania wengi hatukijui, na wachache wanao kijua wanaogopa. Serikali ni wananchi. Wao ndo wanamaamuzi ya nn tunataka na nini hatutaki. Alie kupa dhamana ndie anae weza kukunyang'anya dhamana. Viongozi tumewapa dhamana watuongeze, kama tunaona hafai sisi ndo wenye uwezo wa kuwavua...
  12. frankfrut_

    Bado na imani na serikali yangu

    Sijafanya uchunguz ni asilimia ngap wanajua nalkn nna hakika wengi hawajui. Na hata wanao jua mfumo haupo upande wao, pia sio kila kitu ni kutoka juu. Kuna vingne vnatokea kutokana na mfumo wa uendeshaji serikal
  13. frankfrut_

    Bado na imani na serikali yangu

    Watanzania wengi tunakosa haki za msingi kwa kutokujua sheria pamoja na mfumo gandamizi unaotumika kwa wapigania haki! Still there is hope, we can win the battle of human right s
  14. frankfrut_

    Bado na imani na serikali yangu

    Siku imani yangu itakapo ondoka kwa serikali yangu ni pale itakapo pandisha mishahara mwezi wa saba mwakani na kusahau kwamba mwaka huu napo tulikuwa tukihitaji ongezeko la mshahara. Nikiwa na maana wakafanya increment moja badala ya mbili[emoji34] [emoji35] Kwa sasa imani bado ipo
Back
Top Bottom