SUMATRA mko wapi!!?

frankfrut_

Member
Apr 24, 2015
21
45
Nipo Mwanza najiandaa kwenda Mbeya na bus la Supershem, cha ajabu basi halipo. Inasemekana lipo njiani linakuja kutoka Shinyanga lilipo lala, lifike tupande turudi Mbeya.

Sasa najiuliza hili bus halina service, na ratiba yake iko tofauti na mengine, pia kwanini SUMATRA iruhusu bus moja kufanya safari kila siku na ni safari ndefu.

Na sio kwamba hawajui wanajua linafanya hivyo lakini mpka ajali itokee ndo wajitokeze. Jeshi la police pia wapo na wanajua linafanya hivyo lakini mpaka litokee la kutokea.
 

Senator Hans

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
601
500
Nipo mwanza najiandaa kwenda mbeya na bus la supershem, cha ajabu basi halipo, lipo njiani linakuja kutoka shinyanga lilipo lala, lifike tupande turud mbeya.
Sasa najiuliza hili bus halina service, na ratiba yake iko tofauti na mengine, pia kwanini sumatra iruhusu bus moja kufanya safari kila siku na ni safari ndefu.
Na sio kwamba hawajui wanajua linafanya hivyo lakin mpka ajali itokee ndo wajitokeze.
Jeshi la police pia wapo na wanajua linafanya hivyo lakini mpaka litokee la kutokea
Ni hatar saana mkuu, Bongo hii viongozi wanaongoza na kuongozwa kwa Filimbi ndo maana mambo ya ajabu yanatokea. "No creativity,No Seriousness"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom