wewe duni hii sasa ni digital wewe bado uko kwenye majini kweli ndio unao hama kila siku nyuma unakosa maelewano namajirani zako kwa kuaminihivyo.imechelewa
na maghorofa anaojenga mchina dar mnasemaje na daraja la kigamboni je nalo.watu wengine mawazo mafupi halafu anataka amjadili mtu mwenye mamillioni yake.jadilieni maisha mlo nyumbani watoto wanalia njaa.
wanao amini uchawi na waonea huruma wanaoamini uchawi hawa ndio wanaouwa ndgu zao na mpaka kuwakimbia baba zao familia yao kuhama nyumba kila siku .biashara ni akili na mtaji mipango .kama biashara ya mabasi ni huduma nzuri kwa wateja.na kama ajali duniani kote zinatokea poleni sana mnao amini...
Wengine chuki zao haya najua leo mnamtukana yeye ni President 2015 .Hadithi ya kufa kwa kiongozi ,hakuna wa kuziba pengo na alikuwa mtu mpole msikiifu kwa hakuna mfano wake .2015 mtamsifia tu mkitaka msitake ndio rais wa ccm.
Wewe tatizo hukwenda shule unafananisha maamuzi ya wazazi na Tanesco? Pole sana lakini najua kazi unayoweza wewe kushindwa hoja utakuja ngumi maana ndio mila yenu.
Chadema mmepewa mkanda wa ngumi na medali tutawapa francis cheka maana hata bungeni ni hayo hayo wananchi hawashangai kwa matukio kama haya kutokea chadema wakiwepo.
Kumbe ukiandika dhidi ya chadema kwenye jamii forum unafutwa du hongereni sana. Kutawala chadema labda Afica kusini makaburu watawale tena ndio chadema mtawale mtaishia kwenye jamii forum.
Michango ya shule haijapangwa na serikali ni maamuzi ya mkutano wa wazazi wenyewe ndio wanaamua iwe shilingi ngapi na ndio maana umemsikia mbunge amekemea mtoto kurudishwa nyumbani anacho au hana mtoto anaingia shule .hongera mbunge kaza buti wananchi tuko nyuma yako.
Duuuu kwanza ni tusi kwa wananchi wa moro mjini huyo mlaa unga kuomba ubunge sio ubunge hata mwenyekiti wa mtaa hapati ameshindwa kuongoza familia yake ataweza wananchi. Msidanganyane kwa jimbo la morogoro mjini wa kumgoa Abood hajazaliwa mpelekeni hata slaa au Mboye agombee na mtapoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.