Madawati ndio hitaji la msingi ndio maana wameanza nalo.bola wanafunzi wakose walimu kuliko kukosa madawati .maana watajisomea wenyewe, ahadi ya mala miezi 2 mala tutaajili mwaka huu wa fedha (mwaka wa fedha unaisha mwez wa 7 /2017). Asante kwa elimu bure na ahadi zitimizwe zisiongezewe muda...
Haya ni maswali ambayo wachache wanahoji .japo kuwa wengi wetu vijana tunalalamika kwamba hatujanufaika moja kwa moja na Tanzania yetu, wasomi wamejaa mtaani bila ajira , lakini bado hatujajihoji wenyewe , TUMEIFANYIA NINI TANZANIA, naamini tunanafasi ya kufanya kitu na kitu kikaonekana sio kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.