Rais Magufuli wapatie wanafunzi walimu

Rais Magufuli wapatie wanafunzi walimu

Madawati ndio hitaji la msingi ndio maana wameanza nalo.bola wanafunzi wakose walimu kuliko kukosa madawati .maana watajisomea wenyewe, ahadi ya mala miezi 2 mala tutaajili mwaka huu wa fedha (mwaka wa fedha unaisha mwez wa 7 /2017). Asante kwa elimu bure na ahadi zitimizwe zisiongezewe muda kama kifurushi cha internet cha bila kikomo.
 
Back
Top Bottom