Recent content by Frank Shedrack

  1. F

    JamiiForums Tanzania FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

    Hello fellas. Kuna fursa ya biashara ya playstations/games Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara. Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara. Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Habari za kazi. Pole na majukumu mazito ya mkoa wetu wa Dar es salaam, wote tunaona ni kwa namna gani unapambana na kujituma kwa dhati kuijenga Dar es salaam mpya. Mheshimiwa Paul Makonda kwa muda sasa sisi kama wahitimu wa vyuo vikuu tuishio katika mkoa wako ambao hatujafanikiwa kupata ajira...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo

    hahahaha taratibu mshana
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kesho wape wafuatao 1. man city 2. inter 3. genk 4. hearts 5. rangers kisha weka pesa nzuri ili alhamisi tukutane tabata BL park
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mdada uliopo the great park karibu tufungue zawadi wote!

    ngoja nisogee hapo, vp kuna mupya au madoido coz wengine twaja kwa ajili ya maua tu na si maji
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mdada uliopo the great park karibu tufungue zawadi wote!

    hahahaha jamani jamani embu tuambieni kati ya great park, bl park na 40-40 wapi kumechangamka nije upesi
  7. F

    JamiiForums Tanzania Coyo: Huyu chalii anupekee fulani.

    this folk is real
  8. F

    JamiiForums Tanzania Health System Research: msaada wa kitabu

    CC Mshana
  9. F

    JamiiForums Tanzania Health System Research: msaada wa kitabu

    UKIKIPATA NI PM NA MIMI.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Akilimali from Kigoma na sio Pwani, Yanga SC mnalo hilo

    hahahaha huyo mzee sio mbishi tu, sometime huwa ana hoja za msingi kama ukiacha ushabiki
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    mornie brother. pole sana kwa hali hiyo, but changamoto uliyo nayo ni hii. 1. uume umepungua size kwa sababu ya punyeto, hapa urefu na wembamba wa uume lazima uuhusike kama kweli ulikuwa hodari katika punyeto. 2. nguvu za kiume zimepungua kutokana na kuharibu misuli ya uume, hivyo uume huenda...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kunioa

    JF now a days has big extensions joints, I think we need reform.
  13. F

    JamiiForums Tanzania iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    mkuu weka bei za ipad ulizo nazo iwe brand new au refurbished
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda gospel za South Africa, tukutane hapa

    Benjamin dude-when I think about jesus, ketshepile wena. zaza-calvary joyous elebration- umoya praise medley to mention are few brothers
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fridge mpya

    habari wadau. nahitaji fridge mpya double door kwa matumizi ya nyumbani. nasubiri ofa zenu. napatikana dar. picha ni muhimu, pia kama kuna mtu mwenye ushauri au wap naweza pata fridge kwa bei rahisi tell me. thanks
Back
Top Bottom